Makapuku Forum

Makapuku Forum

1. Paolo Maldini ( Ac Milan #3 )

Miaka 25 akiwa na Milan huku akitwaa mataji 26 ilitosha kabisa kustaafisha jezi ya Nahodha huyo mwenye mafanikio zaidi klabuni hapo.

paolo_maldini_getty.jpg

Mwisho
Asante Mussolin
 
8/Misao Okawa
05dededa7888e7b606a807572c7559ab.jpg
ff2fcfe2494af7bd552d4aea1ce3f8e4.jpg
Ni bibi wa Kijapan aliyezaliwa mwaka 1898
Ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu Mzee zaidi duniani hadi pale Mwenyezi alipomtwaa
Huko Japan kuna wazee zaidi ya 50,000 wenye umri zaidi ya miaka 100 .....Wajapan siyo wa mchezo mchezo hawaendi makaburini mapema
Sisi huku serikali ya Mh. Sizonje inasimanga wazee eti wanamaliza dawa
Alifariki dunia 2015 akiwa na miaka 117
........
Aisee
 
7/Marie Louise Meilleur
c0e31c3983173b3a22bc5a40e775c325.jpg
158bde8e60b7bb91f825b5a1c0fd6927.jpg
Alizaliwa Agosti 29 mwaka 1880
Ni bibi wa Ufaransa mwenye asili ya Canada(naona wana wake wanatawala list tu)
Ndiye Mkanada aliyeishi miaka mingi zaidi kuwahi kutokea
Watu hawaachi fursa kuna manukato yanatumia jina lake
Alifariki dunia mwaka 1998 akiwa na miaka 117 na siku kiduchu
.......
 
R.I P Marc Foe kiukweli uliwaachia cameroon pengo lako na kwa heshima yako unakumbukwa daima ...

Dakika ya 73 cameroon akicheza na Colombia ilikuwa mbaya kwa wapenzi wa cameroon make pasipo kutarajia ndo mpendwa wetu ulitutoka .....Msaada wake ulikuwa mkubwa k2a club pamoja na timu ya taifa make magoli 8 kwa timu ya taifa ni mchango mkubwa

Kifo chake kilikuwa cha utata japo vyanzo vingi vilionesha tatzo kubwa lilikuwa HCM-nikimaanisha Hypertrophic cardiomyopathy ambapo huu ni ugonjwa wa kurithi (Genetic disorder ) ...halii hii husababisha mishipa ya damu hasa zile myocardium kuwa thick jambo ambalo inakuwa kazi kubwa au tatizo moyo kusukuma damu ipasavyo...

Heshima kwake ...
Ilikuwa Juni 26, hakika hatosahaulika kwa wapenda soka walio wengi.

EDO Kumwembe amempa mwanae jina la Marc Vivien ikiwa ni heshima yake kwa mchezaji huyo.
 
Daaaaaah moja ya mbegu katika mpira wa miguu ambayo imesaidia sana pale darajaniiij

Ebwanaaaaah udambwiidambwiii wa huyu jamaa lazima apewaa heshima darajani ....ndo huyu huyu Omri Obe Gianfranco Zola kiumbe aliyesaidia sana mimi nakukumbuka na golden goal lako dhidi ya westham dec 21 ,96

Sema ile combination ilikuwa hatar kati akae Roberto di Matteo , Gullit ndan na Petrescu weeeee
Umemsahau Tore Ande Flo! Halafu kitambaa alikuwa anavaa mbabe mmoja anaiywa Denis Wise.
 
8/Misao Okawa
05dededa7888e7b606a807572c7559ab.jpg
ff2fcfe2494af7bd552d4aea1ce3f8e4.jpg
Ni bibi wa Kijapan aliyezaliwa mwaka 1898
Ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu Mzee zaidi duniani hadi pale Mwenyezi alipomtwaa
Huko Japan kuna wazee zaidi ya 50,000 wenye umri zaidi ya miaka 100 .....Wajapan siyo wa mchezo mchezo hawaendi makaburini mapema
Sisi huku serikali ya Mh. Sizonje inasimanga wazee eti wanamaliza dawa
Alifariki dunia 2015 akiwa na miaka 117
........
RIP Misao Okawa
 
7/Marie Louise Meilleur
c0e31c3983173b3a22bc5a40e775c325.jpg
158bde8e60b7bb91f825b5a1c0fd6927.jpg
Alizaliwa Agosti 29 mwaka 1880
Ni bibi wa Ufaransa mwenye asili ya Canada(naona wana wake wanatawala list tu)
Ndiye Mkanada aliyeishi miaka mingi zaidi kuwahi kutokea
Watu hawaachi fursa kuna manukato yanatumia jina lake
Alifariki dunia mwaka 1998 akiwa na miaka 117 na siku kiduchu
.......
RIP MarieLouse Meilleur
 
6/Lucy Hannah
3825db36e0b995d997be41dd6b84c880.jpg
a379c4ca063f282e800c634163bba5d1.jpg
Alizaliwa July 16 mnamo mwaka 1875
Alikuwa ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika....ikumbukwe chimbuko la Wamarekani weusi ni biashara ya utumwa
Ndiye Mmarekani mzee # 2 kuwahi kuwepo katika nchi hiyo
Amewahi kushikilia rekodi ya mtu Mzee zaidi duniani
Alifariki mwaka 1993 March 21 akiwa na miaka 117 na siku kibao
........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom