Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
BalaaDaaaaaah kweli chumvi kailaa
BalaaDaaaaaah kweli chumvi kailaa
Ha ahhahahaha, mjomba unakumbukumbu sana, inafaa uwe mkutubi hakyanani. Jesca (sio yule wa udom) yupo sema anajiita Jessicar kujitofautisha na mtoto wa pale panaponuka shombo feri.
Unakumbuka that day tuna mechi na wale jamaa wa polisi Kota , wao wana jezi sisi kifua game?
Ile nimetanguliziwa krosi naikimbilia nasikia "usiniumizie"""" basi midadi ikaniongezea mbio .
Kitahamaki nasikia kifua kinabana bana, watu makelele obe obe obe obe huku wanacheka , nikajua wamefurahishwa na mbio zangu, kama Lunyamila.
Lahaula kujicheki kumbe VIP yangu ilikatika ikapanda juu ikatulia kifuani kama sidiria.
Mjomba hii story usiilete tena hapa, ilinitia haya sana
mpendwa hii ya Leo Kali kuliko
1/Dhaqabo Ebba![]()
![]()
![]()
Ni Muethipia alizaliwa miaka ya 1850's
Muda wake mwingi anejishughulisha na kilimo
Sijaona mahali popote kama huyu babu keshafariki(sina uhakika)
Kinachomnyima tunzo ya kuwa mtu mzee zaidi duniani ni ukosevu wa ushahidi kamili pia Wazungu hujipendelea tu kwa kila jambo
Ana umri wa zaidi ya miaka 160
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.............
huyu kavunja rekodikwako pia... have a blessed day, imalize siku vizuri uanze nyingine vizuri
Ubarikiwe umeniongezea elimu, ushanipa ratiba ya kupitia huu uzi kila siku.2/Tuti Yusupova![]()
![]()
Alizaliwa kati ya mwaka 1880 au 1882
Alikuwa ni bibi wa Uzbekistan.....wakati anazaliwa nchi hiyo ilikuwa sehemu ya Urusi sijui koloni lao kiufupi inachanganya
Akishikilia rekodi ya mtu mzee zaidi duniani hadi pale alipofariki
Alifariki dunia mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 134 na siku 270
........
Ha ahhahahaha, mjomba unakumbukumbu sana, inafaa uwe mkutubi hakyanani. Jesca (sio yule wa udom) yupo sema anajiita Jessicar kujitofautisha na mtoto wa pale panaponuka shombo feri.
Unakumbuka that day tuna mechi na wale jamaa wa polisi Kota , wao wana jezi sisi kifua game?
Ile nimetanguliziwa krosi naikimbilia nasikia "usiniumizie"""" basi midadi ikaniongezea mbio .
Kitahamaki nasikia kifua kinabana bana, watu makelele obe obe obe obe huku wanacheka , nikajua wamefurahishwa na mbio zangu, kama Lunyamila.
Lahaula kujicheki kumbe VIP yangu ilikatika ikapanda juu ikatulia kifuani kama sidiria.
Mjomba hii story usiilete tena hapa, ilinitia haya sana
Bhinamuu umenikumbusha mbali aiseeeeeh achana na hiyo ya VIP ...ila jessicar alikuwa kichwa hatariiiiii ...kitoto cheupeee sema unakumbukaa ile siku mmeshinda sijui mlikuwa mnaita kambi ...kitu cha ubwabwa kikapikwa kucheki uku na kule anko yako ata namba 17 siwez kudanganya kuchezaa ...ukajitosa kuniibiaa kitu cha ubwabwa ...achaa hiyoo ile komeshaa siku ya mechi na wale bad boys mlivowafungaa na wewwe ukatia 2 watuuuuu obe obe obe ....japo moja ulioteaa ...mpira kwisha wakakufumaniaa na demu wa beki waooHa ahhahahaha, mjomba unakumbukumbu sana, inafaa uwe mkutubi hakyanani. Jesca (sio yule wa udom) yupo sema anajiita Jessicar kujitofautisha na mtoto wa pale panaponuka shombo feri.
Unakumbuka that day tuna mechi na wale jamaa wa polisi Kota , wao wana jezi sisi kifua game?
Ile nimetanguliziwa krosi naikimbilia nasikia "usiniumizie"""" basi midadi ikaniongezea mbio .
Kitahamaki nasikia kifua kinabana bana, watu makelele obe obe obe obe huku wanacheka , nikajua wamefurahishwa na mbio zangu, kama Lunyamila.
Lahaula kujicheki kumbe VIP yangu ilikatika ikapanda juu ikatulia kifuani kama sidiria.
Mjomba hii story usiilete tena hapa, ilinitia haya sana

Asante Bitoz1/Dhaqabo Ebba![]()
![]()
![]()
Ni Muethipia alizaliwa miaka ya 1850's
Muda wake mwingi anejishughulisha na kilimo
Sijaona mahali popote kama huyu babu keshafariki(sina uhakika)
Kinachomnyima tunzo ya kuwa mtu mzee zaidi duniani ni ukosevu wa ushahidi kamili pia Wazungu hujipendelea tu kwa kila jambo
Ana umri wa zaidi ya miaka 160
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.............
Na ni kkweliiiHa ahahhahaj, hii tuiite nguvu ya mamba kumayi
Hiii mama usiongee mengiNilitaka kushangaa binamu labda me na wewe tuna ugomvi halaf sijijui
La mimba changa ni kweli binamu wala simu haijakosea na inanisumbua kweli tena nikisikia hizo habari zenu najisikia hata kichefu chefu
Hii mimba kiboko haitaki habari za makinikia wala wahamiaji haramu wala wale wengine

Ulikuwa hujamjua we?!![]()
![]()
![]()
halafu kumbe wewe mdau una mbwembwe na masihara kibao
Kweliiii kabisaYa kweli hayo mpendwa?![]()
hahah! nimeshamjua sasa...Ulikuwa hujamjua we?!
Basi huyo ndio obe buana
Hiii huyu jamaaa vip ...unacheza na bhinamu wanguu![]()
![]()
![]()
halafu kumbe wewe mdau una mbwembwe na masihara kibao
Bhinamuu umenikumbusha mbali aiseeeeeh achana na hiyo ya VIP ...ila jessicar alikuwa kichwa hatariiiiii ...kitoto cheupeee sema unakumbukaa ile siku mmeshinda sijui mlikuwa mnaita kambi ...kitu cha ubwabwa kikapikwa kucheki uku na kule anko yako ata namba 17 siwez kudanganya kuchezaa ...ukajitosa kuniibiaa kitu cha ubwabwa ...achaa hiyoo ile komeshaa siku ya mechi na wale bad boys mlivowafungaa na wewwe ukatia 2 watuuuuu obe obe obe ....japo moja ulioteaa ...mpira kwisha wakakufumaniaa na demu wa beki waoo![]()
![]()
![]()
teh teh..nampa credit zake binamu kwa makeke yakeHiii huyu jamaaa vip ...unacheza na bhinamu wanguu