Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ha ha ha ha ha ha ha ha ungelimjeruhi wapii wakati ulinywea kama sisimizi mpaka nikatoa kale ka kisu nilikokuwa nimekachonga kwa ajili ya kuibia maembe ila tuliwawezaaa....Ha ahahhahahaha! Yule beki alikuwa noma sana mambo madogo tu akataka kuleta ubabe, usingekuwepo ningemjeruhi sana na yule dada nikaondoka naye kumalizia kumpa address yangu.
Si unajua hatukuwa na simu kwa hiyo kutoa address lazima uanze na
Obe Mimi
C/o Mjomba Lee
S.L.P .....
Nyumbani.
Si kazi rahisi ati
Ila bhinamu unakumbuka yule bint wa jiran aliyetoka advanced level shuleni ukajitutumua kumpiga mistariii....weee bhinamuu ukipanga wako umeuanzaa zamani dadekiiiii eti ukaniomba nikuandikie kwa kingereza .....
