Makapuku Forum

Makapuku Forum

1. Paolo Maldini ( Ac Milan #3 )

Miaka 25 akiwa na Milan huku akitwaa mataji 26 ilitosha kabisa kustaafisha jezi ya Nahodha huyo mwenye mafanikio zaidi klabuni hapo.

paolo_maldini_getty.jpg

Mwisho
Asante komredi
 
7. Gianfranco Zola ( Chelsea #25 )

Ingawa klabu ya Chelsea haikuwahi kutangaza wala kuthibitisha rasmi, lakini inaonekana kama ni dhahiri shairi, jezi ya Zola namba 25 imestaafishwa.
Ni miaka 14 sasa toka Zola aondoke Chelsea lakini mpaka sasa hakuna mchezaji mwingine aliyewahi kuvaa namba 25 klabuni hapo. Zola ni shujaa Chelsea kabla ya zama za Tajiri Abramovich.
John Terry alichagua kuvaa namba 26 ili kukaa karibu na mkongwe huyo kwenye bus la timu pamoja na dressing room.

article-0-15FC7F9B000005DC-379_634x463.jpg
Huyu fundi fundi ndo alinipeleka kwa mkopo Darajani na nikajisajiri.

Ujue ni kutokuwa na records tu, hata mimi timu yangu ya kitaa imetunza jezi yangu kwa heshima maana two times tulishinda mbuzi mnyama cup na one time tukawa mabingwa wa kugombea jezi cup.

Utauliza jezi yangu namba ngapi!? Well, jezi haikuwa na namba, siku hizi jezi zina namba na isiyo na namba wameitunza kwa heshima yangu kiungo mkabaji.

Asante sana mpenzi msomaji
 
5/Sarah Knauss
bfaedcd35b0c516da86f8c6ccaf7c275.jpg
575c44c48099b4be208fd28121932307.jpg
Alizaliwa tarehe 24 Septemba 1880
Ni bibi wa Kimarekani anayeshikilia rekodi ya Mmarekani mzee zaidi kuwahi kutokea
Enzi za uhai wake alikuwa ni mfanyakazi kwenye kampuni ya bima nchini humo Insurance worker
Alifariki dunia mwaka 1999 akiwa na umri wa miaka 119
........
 
Huyu fundi fundi ndo alinipeleka kwa mkopo Darajani na nikajisajiri.

Ujue ni kutokuwa na records tu, hata mimi timu yangu ya kitaa imetunza jezi yangu kwa heshima maana two times tulishinda mbuzi mnyama cup na one time tukawa mabingwa wa kugombea jezi cup.

Utauliza jezi yangu namba ngapi!? Well, jezi haikuwa na namba, siku hizi jezi zina namba na isiyo na namba wameitunza kwa heshima yangu kiungo mkabaji.

Asante sana mpenzi msomaji
hawakujii bhinamu vile vyanga vyako amaiziiiing ....ulikuwa unatishaa

Sema ulikuwa unanogaa ukisikia kisauti cha Jesca wa primary 'usiniumizieeeee'

Utaniambiaa alienda wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom