Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
Apa sijui mbuzi kafia kwa muuza supuu au tusemeje bhinamu
Ha ahahhahaj, hii tuiite nguvu ya mamba kumayi
Apa sijui mbuzi kafia kwa muuza supuu au tusemeje bhinamu
Binamu mimi na wewe tuna ugomvi? au we leo umetokea kuichukia mimba changa
Kawaida tuUko makiniiiiii![]()
![]()
NtabhobaUmbwile tugende bhose iwachu..
Nilitaka kushangaa binamu labda me na wewe tuna ugomvi halaf sijijuiHaha hahahaha, hapana , si hivyo hata kidogo , tigombane mimi na wewe tena, haiwezekani.
Hill la mimba changa hata sijui lilitokea wapi, unajua hii simu sometimes huwa nikiandika jambo moja inaleta jingine. Labda nije niifomati
sante mkuu1. Paolo Maldini ( Ac Milan #3 )
Miaka 25 akiwa na Milan huku akitwaa mataji 26 ilitosha kabisa kustaafisha jezi ya Nahodha huyo mwenye mafanikio zaidi klabuni hapo.
![]()
Mwisho
Mmmmmh, unataka kusema shululu alizihesabia kwa mwingine na sio wewe? Anyway, basi yeye alihesabu akasema ni mzigo kitu 1500

Sijambo mpendwA,vp wewe?!Ha ahhahahaha,
Ila mimi sijui kuhesabu labda kama unazo utanifundisha, si ndiyo mpendwa!?
Hujambo lakini?
Nilitaka kushangaa binamu labda me na wewe tuna ugomvi halaf sijijui
La mimba changa ni kweli binamu wala simu haijakosea na inanisumbua kweli tena nikisikia hizo habari zenu najisikia hata kichefu chefu
Hii mimba kiboko haitaki habari za makinikia wala wahamiaji haramu wala wale wengine
ahhahhaa sawa binamuKumbe haitaki hizi habari , pole sasa ile ripoti ya makinikia itabidi tuizuie serikali kuitangaza
Wahamiaji haramu hawana tatizo na kuanzia leo msako mkali unaendelea kuwaondoa hapa mjini. Uwe na uhakika hutowasikia tena, labda kwa bahati mbaya
Sijambo mpendwA,vp wewe?!
Mi sivai hivyo vitu banaa
kashaelewa huyo.. achana nae mkuuAcha upuuzi
Likes kafuate Facebook ...hapa tunakupa naarifa tu
......
Ya kweli hayo mpendwa?Huyu fundi fundi ndo alinipeleka kwa mkopo Darajani na nikajisajiri.
Ujue ni kutokuwa na records tu, hata mimi timu yangu ya kitaa imetunza jezi yangu kwa heshima maana two times tulishinda mbuzi mnyama cup na one time tukawa mabingwa wa kugombea jezi cup.
Utauliza jezi yangu namba ngapi!? Well, jezi haikuwa na namba, siku hizi jezi zina namba na isiyo na namba wameitunza kwa heshima yangu kiungo mkabaji.
Asante sana mpenzi msomaji

![]()
![]()
![]()
hawakujii bhinamu vile vyanga vyako amaiziiiing ....ulikuwa unatishaa
Sema ulikuwa unanogaa ukisikia kisauti cha Jesca wa primary 'usiniumizieeeee'
Utaniambiaa alienda wap

4/Juana Chox Yac![]()
![]()
Alizaliwa Novemba 29 1893 nchini Guatemala
Amewahi kushikilia rekodi ya dunia ya mtu mzee zaidi duniani hadi mauti yalipomfika
Alipatiwa kitambulisho cha Taifa mwaka 2012 baada ya vielelezo kujitosheleza bila chenga kwamba kazaliwa karne ya 19
Ameacha vitu kuu kibao
Alikuwa na umri wa miaka 122 wakati anafariki dunia 2015
.......

GoodAcha upuuzi
Likes kafuate Facebook ...hapa tunakupa naarifa tu
......
mkuu shukrani kwa top ten yako.. imetulia1/Dhaqabo Ebba![]()
![]()
![]()
Ni Muethipia alizaliwa miaka ya 1850's
Muda wake mwingi anejishughulisha na kilimo
Sijaona mahali popote kama huyu babu keshafariki(sina uhakika)
Kinachomnyima tunzo ya kuwa mtu mzee zaidi duniani ni ukosevu wa ushahidi kamili pia Wazungu hujipendelea tu kwa kila jambo
Ana umri wa zaidi ya miaka 160
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.............
Duu2/Tuti Yusupova![]()
![]()
Alizaliwa kati ya mwaka 1880 au 1882
Alikuwa ni bibi wa Uzbekistan.....wakati anazaliwa nchi hiyo ilikuwa sehemu ya Urusi sijui koloni lao kiufupi inachanganya
Akishikilia rekodi ya mtu mzee zaidi duniani hadi pale alipofariki
Alifariki dunia mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 134 na siku 270
........