Makapuku Forum

1982 - John Hinckley hakutwi na kosa lolote kutokana na sababu ya kuwa na matatizo ya akili baada ya Jaribio lake la kujaribu Kumuua Rais wa Marekani, Ronald Reagan.
Chizi John Jaribio la kumuua Ronald Reagan....ila Wamarekani wana kawaida ya kudai Mauaji ni wagonjwa wa akili , wengine ni kweli ila wengine ni funika kombe

Cristiano Ronaldo alipewa jina la Ronaldo(kireno ndo huwa hivyo wakati kiingereza ni Ronald) kwa heshima ya Rais Ronald Reagan maana alikuwa akimpenda sana kiongozi huyo
.....
 
1953 - Benazir Bhutto anazaliwa.

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 11 wa Pakistan.

Aliuwawa mwaka 2007.
Kutokea familia ya wana siasa
Baba yake alikuwa kiongozi mkubwa nchini humo na akauawa kama mwanawe ....huu ukoo ni kama akina Kennedy curse tu Nukuu # 3 hajawahi kufutika kichwani kwangu
Aliye karibu na Sizonje amwambie hayo maneno
.......
 
Nasikia skendo ya rushwa ina mkono wa wakubwa kama ilivyokuwa kwa babu wa FIFA Sepp Blatter
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…