Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Thimbaaa oyeeee
Thimbaaa oyeeee
UmechapiaShukrani kamarada!
Asante kwa magazeti ankaliMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
Asante mwanafamiliaAsante kwa ujumbe mzuri
R I P Ally YangaDaaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...
............Huyu mwanadamu alikuwa ni star katika mastar wanaoishi jukwaani katika kila mchezo wa Yanga na wa Taifa stars, huyu mwanadamu kila wakati alivutia kwa ubunifu wake jukwaani...... Nani alikuwa hamfahamu mwana Sanaa huyu, Nani alikuwa hamfurahii mwanadamu huyu...... Sio Mimi tu, sio wewe tu, hata camera za runinga zilimfurahia kila timu yake ilipokuwa inashangilia goli..... Alivutia wakati wa kushangilia goli kwa staili ya kuchinja lakini pia alivutia zaidi wakati ana kuhuzunika baada ya kufungwa.
Nenda sasa ukapumzike Ally Yanga, picha zako ni ushahidi tosha wa ufalme wako jukwaani kwa jezi za Yanga na taifa stars katika Sanaa yako. Mwenyezi Mungu aipe faraja familia yako katika kipindi hichi kigumu, lakini pia Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMEN.
Tangulia hiyo ndio njia yetu sote. Inalilah waina ilaih rajiun
Happy birthday to her. ..na pongezi nyingiiii kwakeeLeo Katika Historia:
1957 - Ellen Fairclough anakuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa Waziri katika historia ya Canada.
Asante shululu kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Kwa udhamini mnono wa Obe
ZABURI 34
BABA Asante kwa kutuamsha salama,tunakushukuru sana kwani wapo wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza ,hatuna cha kukulipa bali kukushukuru,kukutukuza,kukuheshimu na kulisifu jina lako Takatifu daima.
MBARIKIWE
Nimemkopa binamu udhaminiiAsante shululu kwa magazeti
Shukrani mpendwa wangu obe kwa udhamini
Oooooh kumbe1963 - Kadinali Giovanni Battista Montini anachaguliwa kuwa Papa Paulo wa VI.
Morning kaka ake! Habari ya wewe?Morning ladies and gentlemen
AsanteeUJUMBE MUHIMU KWA WANAUME WOTE.
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua KUFANYA MAPENZI vema.
2. Mwanaume bora KAMWE hapimwi kwa idadi ya wanawake alionao au aliotembea nao BALI kwa idadi ya wanawake aliowaambia "Mimi ni mume wa mtu" au ninae mtu tayari.
3. Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wamaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia zao"
4. Kila mwanamke anavutia akivaa nguo fupi inayoonesha maungo yake wazi, ila kama utakuta mwanamke amevaa nguo ndefu au za kusitiri mwili wake na bado anavutia, huyu ni dhahabu! Anathamini mali za mumewe!
5. Kamwe usimpe mwanamke mimba ya mtoto kabla hujampa mimba ya malengo na ukayatimiza.
6. Tafuta mwanamke ambae atakupa changamoto za maisha na kuongeza uwezo wako wa kufikiri na sio mwanamke wa kila kitu Ndio mzee!
7. Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani, ila wanawake bora wapo kila mahali.
8. Mwanamke anaweza kukusaliti, ila Mungu hawezi kukusaliti, hivyo basi kabla hujapata mwanamke Mpate Mungu kwanza. Kuna raha sana kuwa ndani ya Mungu asikwambie mtu!
9. Kama unajijua umefikisha miaka 25 na kuendelea epuka mambo ya kivulana, kuvaa suruali katikati ya makalio, kuvaa hereni, kubadili badili wanawake kama unachambua mitumba ya karume etc
10. Usitumie kichwa chako kunyoa kiduku, tumia kichwa chako kuwaza mambo yenye tija ikiwemo kutafuta pesa na kuongeza hazina yako ya baadae.
Yani ni Handsome hadi raha kumuangaliaNingekuwa mimi nawagomea![]()
Huu ni ubaguzi na unyanyasaji
.
.
.
.
Asubuhi njema
......
Inauma sana ila hatuwezi kulaumu ni bwana mungu Wa majeshi amevuna shamba lake.Daaaaah Udongo unameza ....R.I.P Ally wa Yanga ...