Makapuku Forum

Makapuku Forum

4340c4646e3124c23deca2813708d090.jpg
Amazing story!!
 
WANASAYANSI WAGUNDUA SAYARI NYINGINE YENYE UHAI...

320bcc7189216ebea794b17d7bc5358c.jpg

...........Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.

Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inaonyesha sayari kumi zenye miamba ambazo zipo hatua chache kutoka kwa mkusanyiko wa nyota.

Sayari hizo ambazo zinatoshana na dunia, zote zipo nje ya jua katika mkusanyiko huo wa nyota.

Darubini hiyo ya Kepler sasa imegundua jumla ya sayari 50 katika maeneo tofauti yenye uhai angani.
Hii ndio darubini ya Kepler
f0da52ca8aae845316f2ffb9943220f2.jpg
8408cc9d18d2c8fd995f98586e505b15.jpg
 
CHANJO YA MAGONJWA YA MOYO YAVUMBULIWA

Shirika la utafiti wa kisayansi kutoka nchini Netherlands limeanza kufanya majaribio kwa wanadamu ya chanjo ya kupunguza kiwango cha mafuta katika mwili wa mwanaadamu na kwamba endapo utafiti huo utafanikiwa; wana matumaini kuwa chanjo hiyo itakuwa na uwezo wa kuzuia magonjwa ya moyo.

Watafiti hao wameeleza kuwa majaribio yao waliyokwisha kuyafanya dhidi ya panya yanaonesha kwamba chanjo hiyo imefanikiwa kuzuia na kuacha kuimarisha amana ya mafuta katika mishipa ya damu.

Imearifiwa kuwa chanjo hiyo ina uwezo wa kufanya mfumo wa kinga ya mwili kukabiliana na mafuta yasiyohitajika kutoka katika damu.

6774c3786b559ccb08a73fa101cc2f7c.jpg

Wanasayansi hao wanaamini kuwa chanjo hiyo inaweza kutumika kama njia mbadala wa zilizokuwa za kupunguza mafuta , pamoja na kuwasaidia, mamilioni ya watu ulimwenguni kupambana na mafuta yasiyohitajika mwilini.

Inatarajiwa kuchukua takriban miaka sita ili vipimo hivyo kukamilika.

ba21d407965b4f8f2948e94887d0bad6.jpg
Haya ndio madini mkuu

Kazi yako iko vizuri
 
WANASAYANSI WAGUNDUA SAYARI NYINGINE YENYE UHAI...

320bcc7189216ebea794b17d7bc5358c.jpg

...........Wataalam wa maswala ya angani wametangaza ugunduzi wa sayari nyengine kumi angani ambazo huenda zinaweza kusaidia uhai.

Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka kwa darubini ya Kepler inaonyesha sayari kumi zenye miamba ambazo zipo hatua chache kutoka kwa mkusanyiko wa nyota.

Sayari hizo ambazo zinatoshana na dunia, zote zipo nje ya jua katika mkusanyiko huo wa nyota.

Darubini hiyo ya Kepler sasa imegundua jumla ya sayari 50 katika maeneo tofauti yenye uhai angani.
Aisee wanasayansi hawalali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom