Makapuku Forum

Makapuku Forum

1976 - Juliano Belleti anazaliwa.

Beki wa kulia wa zamani wa Barcelona, Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.

Alitwaa Uefa Champions League mwaka 2006 wakati Barca ikiifunga Arsenal 2-1 huku yeye akifunga goli la Ushindi.

Pia ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2002 akiwa na Brazil.
1dd11b58649f687d21ae8c2ce226ba45.jpg
4021a4a815412ccaffb64f3298e0e790.jpg
Brazil uwepo wa Cafu ndo ulimweka benchi
0fe8bc39293e4e46a4b07063bee7e082.jpg
70de98e2246190312c2cf4b567ea4aa0.jpg
Ile mechi Arsenal hawawezi kuisahau maana hadi leo hawajawahi tena kugusa japo nusu fainali ..furaha yao siku hizi ni kushiriki tu
Nakumbuka Jens Lehmann alochezea umeme mwanzoni kabisa ya kipindi cha kwanza hivyo timu kuwa 10 muda mrefu
.....
 
1976 - Juliano Belleti anazaliwa.

Beki wa kulia wa zamani wa Barcelona, Chelsea na timu ya taifa ya Brazil.

Alitwaa Uefa Champions League mwaka 2006 wakati Barca ikiifunga Arsenal 2-1 huku yeye akifunga goli la Ushindi.

Pia ametwaa Kombe la Dunia mwaka 2002 akiwa na Brazil.
HBD Juliano Belleti
 
1978 -Frank Lampard anazaliwa.

Kiungo wa kati wa zamani wa West Ham, Chelsea na timu ya taifa ya England.

Mmoja kati ya viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 15 iliyopita.

Kombinesheni yake na Steven Gerrard kwenye timu ya taifa haikuwahi kuwa na mafanikio.
ff838f79257a0f941f8a4dca57c18dd1.jpg
3b340b7d07bba35ddd001eeda273edf6.jpg
b1b97aa0d4667d8a68813f4be1f3d0d7.jpg

Ni mpwa wa Harry Redknapp
Ni kiungo lakini ni noma kwa kupiga ambao haswa kwa mashuti makali
f734875fc62a377fd31a8d8ec5fd55b2.jpg
883fb5ed68763a3c1ced34c256b4bde1.jpg

Kwenye kombe la dunia Sauzi 2010 goli lake dhidi ya Ujerumani lilikataliwa na Waingereza walipiga makelele na ikawa mwanzo wa goal line technology
Jamaa kuacha rekodi kibao daraja ni
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom