Kweli kabisa ...Kwa vile huko anga za juu mazingira yake hayaeleweki, pengine mazungumzo ya kawaida yanaweza yasiwezekane. Teknolojia hii itasaidia sana katika mazungumzo ya binadamu katika sayari za mbali siku moja ukiachilia mbali kusaidia watu wenye matatizo ya kuzungumza hapa duniani (bubu, wenye celebral palsy na magonjwa mengineyo)
Hapana mkubwaKatibu leo story hakuna?
Asante mkuuAsante kwa UF na BBC news
Vijana wanasema dude limeamshwa
Movie mpya town ...