Makapuku Forum

Makapuku Forum

TOP TEN
Wadau nilikuwa nacheki mpira now umeisha kwa Wajerumani kuwapiga Australia goli 3:2

hapa Tanzania Hasheem Thabeet ni maarufu kutokana na urefu wake aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu....Pia kuna jamaa fulani mwaka Alikuwa gumzo baada urefu wake kumzidi kabisa Hashim kiasi cha kushindwa kupatiwa matibabu ya mifupa pale Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI}

Sasa leo nakuletea watu kumi warefu kuwahi kuishi duniani

NB;
"""""""""""""""""""""""""""""
Futi 1 = Inchi 12
Inchi 1= Sm 2.54
Futi 1 = Sm 30.48
""""""""""""""""""""""""""""""
Karibuni
.............
Asantee karibuuu
 
Kweliii shemuuu...
3e31d785beb833e9235c93dcb7f72e17.jpg
Mmmmh
Em subiria
 
10/Brahim Takioullah
94f1d90c7d522c1858077630b37e7f05.jpg
e88cadd7a39add910412856812315511.jpg
525f135422ea1a41b6e82f3438b8920f.jpg

Ni raia wa Morocco aliyezaliwa mwaka 1982
Huyu jamaa anashikilia rekodi ya dunia kwenye Guinness Book of World Records ya mtu mwenye miguu mirefu zaidi duniani anayeishi.....pia ndiye mtu wa pili wa muda wote mwenye miguu mikubwa zaidi kuwahi kutokea duniani(nazungumzia makanyagio) miguu yake ina urefu wa inchi 15 yaani kiatu kinatakiwa kiwe hivyo
Huyu jamaa sababu ya urefu wake ni uvimbe(tumor) ambao umeathiri tezi(gland) na kumfanya awe ngongoti
Ana urefu wa Futi 8 na inchi 1
...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom