[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wachina watu wabaya sana
Ila pia Tanzania haina tatizo la upatikanaji wa mchele sema watu wa mjini "usasa mwingi" mfano watu hata maji ya kunywa tu eti wananunua supermarket wakati maji ya bomba yamejaa tele
Waache tu saratani ziwamalize
.......
UbarikiweeeeBe blessed shem darling
AmeeenUbarikiweeee
Nashukuru shemejiAsante shemeji, nawe pia
Ahsante kwa magazeti mdauView attachment 526781View attachment 526783Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Chaplin Nawatakieni wote siku njema
We cheka tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Balozi bwanaaah wengine kandoro mwanzo mwengaa twabugiaaa
Apa nitafute rafiki yangu wa zaman wa chuo anitafutie debe la mchele mbeya
Nakuamini mpendwaSidhani kama nitachoka kusema asante kwa maua haya mazuri. Nikisema nikuhug amini sitataka zaidi ya hapo, kwa sasa
[emoji38] [emoji38]...ha hahahah, nilifungwa kweli. Nadhani nilifungwa na mapepo
Kusoma hujui hata picha huoni??!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kwaiyo ndo kwisha habar yangu
Hata cjui yaani nimejikuta tuWashangaa nini
Kweli baloziiiWe cheka tu
Ubishoo mwingi mjini
Ujanja mwingi mwishowe mauti
......
[emoji38]Umeanza! Umbea waachie akina Mama D...
Goodpole ndio ukubwa huo acha maisha mengine yaendelee ukiona hutakiwi jiongeze sio kulia lia
Mzee Wa busaraNina swaga gani mimi mbali na kujivunia Kolomije kwetu? Mimi hata nitajirike niwe bilionea nitabakia hivi hivi tu. Kama huwa naonekana nina swaga basi mnisamehe na kunivumilia...
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Swaga za kishashi ndo zikoje hizo? Watu mna maneno aisee...
Unafukuaa makaburiii etii[emoji38]
New nameMzee Wa busara
Hivi hapo jeshi ndio maandalizi ya Kibiti?
Bajeti ya mwaka huu ni Trillion ngapi?