Atachomokaje sasa wakati na yeye anapenda mzigo kushinda 700. Anyway Tumosa nakusalimia tu mamaa ya muzigo zaidi ya 700, hongera sana, yaani inaonesha wewe zako tutaziita shanga kimini 1500
Mimi na mjomba wangu hapa baada ya kuwa tumemaliza mgogoro wetu wa kimaslahi.
Kila mmoja anaendelea kushikiria silaha yake maana huwezi kujua, mimi huyu mjomba tunaaminiana kutoaminiana