shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Anaonesha rangi yake halisiDuuu kumbe unatisha balaa
Anaonesha rangi yake halisiDuuu kumbe unatisha balaa
Ila nyieeeWataalamu wa kuhesabu ummewaona kabisa, mara 700,30,40 na hivi na hivi
Mimi sio MCHAWINimekoseaaa
hahahah shemela nilikua sijui kumbe huwa mnazihesabu binamu udumu binamu yanguWataalamu wa kuhesabu ummewaona kabisa, mara 700,30,40 na hivi na hivi
Wataalamu wa kuhesabu ummewaona kabisa, mara 700,30,40 na hivi na hivi
hahahah shemela nilikua sijui kumbe huwa mnazihesabu binamu udumu binamu yangu
SorryMimi sio MCHAWI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...aaaah, wewe umesema wengine huwa wana mzigo, sasa inawezekana ikawa hata zikawa 1500 maana ulihesabu ukachoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda zako huko, wewe jina lako ndo la kwanza kabisa kwa mlionifitni jana, na nimeliwekea nyota tano. Yaani mtaasisi, ni suala la muda tu, tusilaumiane. Fitna zako za jana etii unajitolea kusindikiza? Kwani wewe ni msalaba mwekundu? Au ni mkabili majanga au ni mkuu wa mkoa?
Natafuta mafaili yako kitaasisi hapa siku Linamo akija tu nayafungulia kama bomba mvua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaan hurumieni mbavu zangu...aaaah, wewe umesema wengine huwa wana mzigo, sasa inawezekana ikawa hata zikawa 1500 maana ulihesabu ukachoka
Ila ukweli kukwepa huweziMimi sio MCHAWI
aiseee kwa nini hivyo sasa binamu inaonyesha we mtaalam wa hizi mambo....nyingine huwa ngumu kuhesabu maana zimefungwa kistaili ya Rose Muhando zinaitwa 'Mama Nibebe' hizo ngumu sana kusabu utakesha maana ziko kama ghorofa bila lift
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]...aaaah, wewe umesema wengine huwa wana mzigo, sasa inawezekana ikawa hata zikawa 1500 maana ulihesabu ukachoka
[emoji101] [emoji101] [emoji101]....nyingine huwa ngumu kuhesabu maana zimefungwa kistaili ya Rose Muhando zinaitwa 'Mama Nibebe' hizo ngumu sana kusabu utakesha maana ziko kama ghorofa bila lift
Achana nae hana mpango yulee...nimemuona shedede katokelezea na swagga za kishashi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tulia mtaasisi tatizo hukutaka kunielewa
KuumbeAnaonesha rangi yake halisi
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]aiseee kwa nini hivyo sasa binamu inaonyesha we mtaalam wa hizi mambo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mwaka huu kazi ipoAchana nae hana mpango yulee
Mwanaume mziima unakuwa mchawi banaa[emoji38]