Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
nimecheka sana leo
nimecheka sana leo
shemela ujue hauchomoki na wewe
Sanaaaaiseee kwa nini hivyo sasa binamu inaonyesha we mtaalam wa hizi mambo
YesUmeonaa
Achana nae hana mpango yulee
Mwanaume mziima unakuwa mchawi banaa![]()

nimeonaSanaaa
aiseee kwa nini hivyo sasa binamu inaonyesha we mtaalam wa hizi mambo
KweliiiMtaasisi, nilitingwa ile mada yetu vipi uiandalie siku kabisa ili at least tuwe japo na saa moja au 45 minutes za kuijadili na inakuwa ni kama segement lets say baada ya magazeti na Historia.
Ili jioni unakuwa ni muda wa kusogoa na ishu za hapa na pale
Achana nae hana mpango yulee
Mwanaume mziima unakuwa mchawi banaa![]()
No needSorry
Nope, sio mtaalamu wa hizo mambo, yaani nazipenda tu. Unajua kitu kupenda yaani sijui nisemeje tu. well, nazipenda sana na sijisikii vibaya kuzisifia na kuwapongeza wote wanaozivaa (FYI: hata lile kabila la kule milimani wanavaa siku hizi na huwezi kutambua kama meno yao yameungua: sileti maswala ya unyanyapaa hapa)
binamu nakugawa bureeee
Amepata mwingine yule sio bure...sasa kama sio mchawi mbona umeachika?
Nope, sio mtaalamu wa hizo mambo, yaani nazipenda tu. Unajua kitu kupenda yaani sijui nisemeje tu. well, nazipenda sana na sijisikii vibaya kuzisifia na kuwapongeza wote wanaozivaa (FYI: hata lile kabila la kule milimani wanavaa siku hizi na huwezi kutambua kama meno yao yameungua: sileti maswala ya unyanyapaa hapa)
Mimi nachomoka vizuri tushemela ujue hauchomoki na wewe
Nawewe unaamini kweli Mimi mchawiIla ukweli kukwepa huwezi
DohAchana nae hana mpango yulee