Makapuku Forum

Alinikeraaa sanaa huyu mtaasisi wako ...wabaya wetu wapo wengi
 
seriously, au kuna uzi/thread nyingine inaitwa pm imeanzishwa kupunguza kasi ya Makapuku sisi? Sijui kwanini mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua. Kuanzia kesho nakaa siti ya mbele ili nielewe mapema. Backbenchers mtanisamehe nahama
ni opt ya msg hapa jf binamu jamaan ukitaka kuongea na mtu mambo yenu mnaingia inbox unanichosha tu
 
Muendelezo ndio mpaka weekend ijayo?
 
story zako na binamu yako zinanichekeshaga sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…