Makapuku Forum

Makapuku Forum

...anko wewe acha yaani ni wewe ndo ndugu yangu pekee unayeweza kunitetea (japo kuna masuala huwa unaniponda sana, kumbuka siku ile kwa kina Ashura).

Leo nafuata ushauri wako, nimetulia nyumbani kama ulivyoshauri nacheza na hiki kiharamia kidogo kinachoniita baba nawewe kinakuita babu
Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa...

Ao achana nao waendeleze fitina zao ila tutashinda ...babu yangu kama leo umeshinda nae nashukuru make wewe utafikiri ndani kuna miiba ukikaa inakuchoma ...nadra sana

Ubarikiwe kwa hilo (in mama mchungaji voice)
 
HV nani alikufitini mpendwa?!
 
cb6ca4a156449f6646b0a03e4a7b73a9.jpg
 
Binamu unanijua mm kwenye ukweli sipindishiii kwa kweli kwa ishu ya Ashura nilitakiwa nifanye hivo ...unajua kwa nn nilifanya hivo make Jamila asingenilinielewaa...

Ao achana nao waendeleze fitina zao ila tutashinda ...babu yangu kama leo umeshinda nae nashukuru make wewe utafikiri ndani kuna miiba ukikaa inakuchoma ...nadra sana

Ubarikiwe kwa hilo (in mama mchungaji voice)

Ha hahahahah! Usinikumbushe ya Jamila maana ile siku umedanganya unaenda Taifa kwenye mkesha, yaani mchepuko ukamfumania mchepuko. Uliwasuluhisha vizuri sana. Kiukweli unahitajika kuwa kwenye kamati ya miss Tanzania, kama mshauri nasaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom