Makapuku Forum

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Zamani Wikend

Sitokuwa na mengi maana naona Jumamosi inataka kupita bila burudani. Tupate muziki wa zamani kidogo tena wa taratibu..

Hii nyimbo imenifanya nipate daku huku nina hisia kali let's think twice how special we're hatujafa hatujambika, kuna watu wanahitaji msaada wetu sio lazima iwe kiasi cha pesa ila upendo wetu kwao na kuwajali ni furaha yao.

Ahsante mtaasisi kwa kuweka wimbo mzuri baadae tukutane kwenye ile mada juu ya wanafunzi wanaopata mimba shuleni.

Tchaoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…