Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Hii iko hivi;
Jamaa ni mtumiaji wa vilevi ( hasa sigara) kama picha ilivyo.
Mtumiaji wa kilevi anatumia bila kujua athari ambazo zinampata yeye.
Nje ya mwili anaona moshi na anahisi yuko salama ila ndani ya mwili kuna bomu linajitengeneza..
Haina tofauti na zile baruti za kutumia tambi/ yaani explosion inakuwa ipo mahali theni source of fire inatokea mbali...
Hiki ndicho kinachoendele hapa..
I stand to be corrected [emoji3]