Makapuku Forum

Makapuku Forum

955c811ec23e261503fb231e9a659342.jpg
 
Namba 06..

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini yatoa tahadhari kuwepo upepo mkali na mawimbi makubwa baharini katika maeneo ya Mwambao wa Pwani Jumapili hii
Wamechelewa kutoa taarifa, tangu kama wiki moja hivi iliyopita hali ya hewa hasa upepo ukanda wa pwani ya bahari ya hindi Kuna upepo mkali sana, japo mwezi wa saba utakuwa zaidi ya huu wa sasa, hata jet za azam zinapata shida kipindi hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom