Makapuku Forum

Makapuku Forum

afea2777c119918c945b5148d4bb8dd2.jpg
Nadadavua hii hapa:

Jamaa anaonekana kuwa yuko kifungoni/kizuizini..

[emoji117]Angalia jamaa kafungwa mikono kwa minyororo ni ishara ya kuwa kifungoni

[emoji117]Jamaa yuko naked, manake hana uhuru au yuko kwenye sehemu hana privacy..

[emoji117]Ndege ndio mkombozi wa jamaa, ndege ndio mtetezi ila mteteze asijekiwa na uwezo, angalia pembeni kuna manenon kah ! Kah ! ...

-Maana ya hayo maneno ni sauti ya ndege akijaribu kukaga cheni kitu ambacho ni kigumu.

Ila pia kuna jani chini pembeni ya ndege...! Labda ndege anajaribu kulimlisha jamaa.



Mwisho; jamaa yuko kifungoni, mtetezi wake hana nguvu ya kumsaidia; ni ndoto kwa huyo ndege kukata cheni

I stand to be corrected.[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom