Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Nawashangaa hawa wanaokulaumu kwa kuquote, yaani kwa vile ni wewe unaruhusiwa kuquote tangu part one hadi hii ya jana.
Tena kama vipi sema neno moja tu nami niiquote halafu uniquote urudie kusoma
Mungu anasaidiaWikendi vipi!?
binamu kweli umepona mama mchuchu usiendemmmh, najua ulitoka lakini anko wangu wewe kama mvuvi ukikosa samaki madoa unaibuka na changu maana hawa huvuliwa kiurahisi.
ujue mumeo ameshakuambukiza uchochezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaha..jaribu manually hautaondoka
Ni poa mkuuWakuu mambo niaje
Baba D lazima shemela katia nenoWaaaooooh
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ha ahahahahah, umenikumbusha kitu kilichokuwa kikinifanya kumsaidia dada mmoja kazi za bustani ili tu niweze kusoma gazeti la sani miaka hiyo. Mmoja wa wachezaji hapo ni Mapung'o, Mundu, kobelo na Chepe
Lodilofa alikuwa ni kiungo wa borntown sawa na kina Pimbi, bob mazishi
Eti Shimba ya ......?????Shimba ya aganza
Mama mchuchu anasema amekumiss..[emoji3]
TiririkaaaHivi ni kwa nini nakuwaga mzito hivyo kuandika???!
Hizo picha za Bitoz naziangalia tuu kila nikitaka kutoa maelezo naondoka tu automatically....
jaman binamu ujue natamani kukuona....ewaa na nilikua na tai tatu huwa namechisha na aidha saa au simu. simu yangu ina kava la yellow! Sijui mjomba alinifananisha mimi na dereva wa school bus? Ila ndo zawadi tena utafanya nini hata kama ungekuwa ni wewe?
HahahahaNaunga mkono mguu unabaki hapa hapa. Kutokana na hii ovaload unayoisema, ndiyo maana siku hizi maenergy drink yanazalishwa kila siku hebu tizama Rockstar drink n the likes. Kila kuchwa ni kahawa muda wote.
Nilimuachaa mmHahahaha
hivi shemela kwa nini we na mkeo ni wachochezi utafika makhiri khiriNipo njiani naenda tabata then mkoani kibaha
hahah akitokea na marangi yake ya njano kama yange yangeMimi nilitumia reference ya kiatu chako cha yellow
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe umerogaa
Baba D wachochezi haoWivu sasa
Muachee aendeeebinamu kweli umepona mama mchuchu usiende
Kumbe we ni shekhe?!!!