Makapuku Forum



Naunga mkono mguu unabaki hapa hapa. Kutokana na hii ovaload unayoisema, ndiyo maana siku hizi maenergy drink yanazalishwa kila siku hebu tizama Rockstar drink n the likes. Kila kuchwa ni kahawa muda wote.
 
Nimekupata vizuri hapo
 
Kavaa uhusika wa aina mbili binadamu na robot ...fikiria kwanza apo
Still bado kuna computer ...
Ukianggalia usoni lijamaa kama limepigwaa butwaa uku uso umelimitiwa na mbao sio fc wababe wa yanga


kwanza kutoonesha kioo cha komputa ...kwanza sisi hatujui kinachoendelea na yeye kwa uso tu hajui hakifanyachooo
 
Komredi kipepe,mzee meko(mshambuliaji hatri) na lodi lofa wengine nimewasAhau
Oooooh vizuriiiiii uko vizuri...nilileta hii picha asubuhi nikiwa na maana kabisa ni kweli wabongo tumekuwa wa kulalamika soka letu ata sisi hapa tumefanya hivo ...baadae naweka ngumu kumeza japo wachache wataelewa au kufatilia ila sisi ndo kapuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…