Makapuku Forum

Nyongezaa mkuu

Ukiangalia vyema mavazi kuna mkanganyiko ...ok audience inamtazama yeye lakin yeye anatoa picha gan

Angalia suruali na nguo ya juu
 
Kuna eye-hole moja kwenye simu ila zipo nyingi pembeni

Ila kuna vitu watumiaji wa simu hatukijui..! And i want to put this clear kama na IT hapa ataongeza.

Ukipiga picha kwenye simu yako utajua kuwa wewe ndie mwenye accessibility tuu ila sio kweli..

Social netwerks zinanasa sana picha za kwenye simu zetu..! Ukipiga picha na kupost humu afu ukaifuta , hapo umeifuta kwako tuu..ila jf itakuwepo milele..

Nenda fb au insta kule..post picha! Baada ya muda ifute ile picha...ila owners wa fb na ista watakuwa na picha yako kwenye data base zao milele..


So hivyo vitu kama macho ni media ambazo ziko aware na picha/video unazopiga kwa simu yako..


I stand to be corrected
 
 
Pole binamu hope mama mchungaji anakaribia kufika tangia aage kuwa anakuja ni kamuda kdgo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…