Eti tuahindane kupost makorokoro km vile
mwxrddg &%$$&%$$ /_/___&$-- au mtu kujisemesha semesha page nzima ili uzi uwe na kasi sijui post nyingi
Likes hukaa kwenye profile lakini maandishi ya mtu hukaa moyoni
Mtu atakupenda,kuchukia kutokana na maandishi siyo maLIKE....kuna kipindi JF kurekebisha server na kulamtu huanza na like 0 (nafikiri unakumbuka)
.......