Mimi najijua naumwa malaria na vipimo vimesema hivyo, dokta ananiambia nile vizuri nipumzike na nifuate ushauri. Sasa najiuliza hii ni malaria tu au dokta hana vyeti? hebu hata wewe mpendwa wangu niambie
Tuwatambuee hawa majamaa ...najua wengi tunamjua Madenge tu ila sio mbaya tukajikumbushaa ...nani alifatilia soka la hawa jamaa ...la kuandikwa ila mashabiki lukukii