Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
How are u T wa SakayoGood evening..
How are u T wa SakayoGood evening..
Szczesny siku nyingi sanaMwandiko wako unafanana sana na Szczesny
Asante dada pole na kazi ya ujenzi wa taifaCjambo kaka pole na majukumu
Jamaa wanateseka aiseeNamba 09
![]()
Kwenye Kesi ya Kitilya na wenzake upande wa Jamhuri wamesema wameshapata vielelezo vya ushahidi kutoka Uingereza
Baba watotoTimu kubwa
R.I.pNamba 05 ...
Polisi wamethibitisha kwamba idadi ya watu waliofariki kutokana na janga la moto kwenye jumba la Grenfell Tower London Uingereza imefikia 30 ..
![]()
Shemeji hapo nilipita usiku sana wakati wa kurudi nilipita alfajiri sanaUkanipita mkoani hata kunipa hi hamna shemeji
Namshukuru Mungu kazi znaendaAsante dada pole na kazi ya ujenzi wa taifa
Jamaa alitumia akili sana kukubali kosa na watu walimshangaa sana, lakini alijua akikubali adhabu yake ni kifungo au kulipa faini, badala ya kukana kosa unakaa mahabusu miaka hata mitano, hiyo ni adhabu tosha, sasa yeye akakiri na akapewa adhabu ya kifungo au alipe faini ya 200,000,000. Akalipa faini na kesi ikaishaNamba 08..
Kesi ya 'Ndama mtoto wa Ng'ombe" imeahirishwa hadi July 20 2017 ushahidi haujakamilika, ni kwa yale makosa mengine matano
![]()
Asante dada tumshukuru mungu kwa kutupigania katika maisha yetuNamshukuru Mungu kazi znaenda
KijanaGood evening..
Namba 01 ..
Mke wa Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Dipolelo Thabane ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika muda mfup baada ya mume wk kutambulishwa ... 😕 😕 😕 😕![]()

Wachezaji wetu wa kibongo usajili wao ni kama biashara ya bangi, maajabu sana aiseeNamba 04 ..
Kiungo kutoka Mbao FC Pius Buswita aliyekuwa akihusishwa kusajiliwa Simba SC, asaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC. ...![]()
Asante mkuu kwa updatesWakuu hizo ni baadhi ya updates kwa leo kwenye 10 zilizobamba #kapuku_updates
Shukrani mkuuWakuu hizo ni baadhi ya updates kwa leo kwenye 10 zilizobamba #kapuku_updates
Ina maana Shedede mchawi?