Makapuku Forum

TOP TEN
km kawaida week end hakuna cha siasa wala uchumi ni burudani na umbea tu maana week end huanza Ijumaa

Tukiwa wadogo tulipenda kuwatania watu wafupi kwa kuwaita Andunje japo kuwa jina lao rasmi ni milikimo na pia wazazi wao waliwapa majina rasmi...hawakupenda kabisa kuitwa vile!!!
Kwa Bongo andunje maarufu Alikuwa ni Kistuli enzi akiigiza na akina Mzee Small,King Majuto n.k kupitia DTV ambayo imeishajifia
Pia huko nchini Kongo kwa akina Pepe Kale walikuwepo akina Emollo ila nchi hiyo ina mbilikimo wengi nasikia ni kama kabla

Sasa leo nakuletea watu kumi wafupi zaidi kuwahi kuishi duniani
Yaani nazungumzia watu wazima (18+) maana mtu mzima huongezeka nywele na kucha tu tofauti na watoto

NB:
1 inch = 2.54 Cm
Karibuni
........
 
Kila mtu anafanya yake ila tunajikuta tumefananisha tuyafanyayo hivyo kuwa eneo moja! Mwenyewe hapa nafanya yangu ili kuelimika na kutoa stress ila ndo hivyo nimeshakutana na wenye malengo kama yangu humu.

Ahsante kuanzisha uzi wenye kila kitu mkuu!
 
Karibu mkuu
 
10/Lin Yu Chih Anezaliwa mwaka 1972
Alishikilia rekodi ya mtu mfupi zaidi duniani hadi mwaka 2009 rekodi yake ilipopata mbabe
Ni raia wa Taiwani kutokea jijini Taipei
Ufupi wake umesababishwa na Osteogenesis Imperfects ni ugonjwa unaoathiri ukuaji wa mifupa
Hivyo kutokana na ugonjwa wake akachukuliwa kama subject kwa wagonjwa wengine
Ni mwandishi/mtunzi na pia ndiye Mwanzilishi wa Ostegenesis Imperfecta Foundation
Ana urefu wa Am 67.5 yaani inch 26.6
.......
 

Great point. Unaweza kuwa na likes chekwa lakini usiwe na mchango wa kukumbukwa.

Kuna uzi mwingine wa umeanzishwa kama Makapuku? FYI sio kosa langu kuuliza maana mimi humu huwa wa mwisho kujua kila kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…