Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Lin Yu Chih
217ad27fa40ae3739ef4fedae050ebe5.jpg
6cd03d12a809312d3c64dd4e5188004e.jpg
Anezaliwa mwaka 1972
Alishikilia rekodi ya mtu mfupi zaidi duniani hadi mwaka 2009 rekodi yake ilipopata mbabe
Ni raia wa Taiwani kutokea jijini Taipei
Ufupi wake umesababishwa na Osteogenesis Imperfects ni ugonjwa unaoathiri ukuaji wa mifupa
Hivyo kutokana na ugonjwa wake akachukuliwa kama subject kwa wagonjwa wengine
Ni mwandishi/mtunzi na pia ndiye Mwanzilishi wa Ostegenesis Imperfecta Foundation
Ana urefu wa Am 67.5 yaani inch 26.6
.......
Aisee
 
Mkuu kuwa wazi kwake mm nilikuwa nakutaarifu msile mtaji wangu
Ukimsaidia mtu mtaji siyo lazima uutangazie ulimwengu mzima. Yaani kwa vile umemsaidia mtaji ndiyo asitongozwe wala kuwa na maisha yake? Nyie ndiyo mkitajirika mnatesa sana wafanyakazi wenu na kuwa-treat kama vile takataka kisa mna pesa. That's not a way to live and leave this world my friend. Badilika!
 
6/Lucia Zarate
465a32a98e80589fa88a03ab06372c41.jpg
ddf25f1a73cc91948ebd5fe69eb87921.jpg

Alizaliwa huko Mexico mnamo mwaka 1864
Aliingizwa kwenye kitabu cha Guinness wakati akiwa na umri wa miaka 17
Akiwa na umri wa mwaka mmoja Alikuwa tayari na urefu wa inchi 24
Alifariki 1890 akiwa na miaka 26
Urefu wake ulikuwa ni Sm 61 yaani inchi 24

.
Mkuu ebu mwambie kilicho moyoni mwako usilete ngonjera
 
6/Lucia Zarate
465a32a98e80589fa88a03ab06372c41.jpg
ddf25f1a73cc91948ebd5fe69eb87921.jpg

Alizaliwa huko Mexico mnamo mwaka 1864
Aliingizwa kwenye kitabu cha Guinness wakati akiwa na umri wa miaka 17
Akiwa na umri wa mwaka mmoja Alikuwa tayari na urefu wa inchi 24
Alifariki 1890 akiwa na miaka 26
Urefu wake ulikuwa ni Sm 61 yaani inchi 24
.......
Kazi ya Mungu haina makosa na kila mtu kaumbwa kwa mfano wake yeye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom