Baba anashabikia timu gani[emoji85] [emoji85][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Shukrani mama yetu Barikiwa[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524] MIKA 7
18 Ee MUNGU ni nani aliye kama wewe? Wewe wasamehe dhambi za watu wako waliobaki wala huyaangalii makosa yao Hasira yako haidumu milele ila wapendelea zaidi. kutuonesha fadhili zako
19. Utatuhurumia tena utafutilia mbali dhambi zetu utazitupa zote katika vilindi vya bahari
20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abraham na Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani
WAPENDWA MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO HAPA NA TUNASOMA UJUMBE HUU TUMRUDIE YEYE SIKU ZOTE TUJUTE NA TUTUBU DHAMBI ZETU ANASAMEHE NI AHADI YAKE KWETU WATOTO WAKE MUWE NA MCHANA MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
AfadhaliAlichanganya, alikuwa bado anaota
Safari nyingine uwe makini lasivyo ntakushaki[emoji85] [emoji85]jamaan nilijua mama angu shemela
Asante mke mweeee[emoji120] [emoji120]nafurahi kusikia hivyo mke mwee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumekusamahenisameheni jamaan maneno yale nimeyazoea kusikia kwa mama yangu tu
Nko pouwa kbsaacha tu mke mwee vipi lakini unaendeleaje
Hahaha! Basi na sisi tufanye bao au karata mchezo wa taifa.
Wakongwe wa kutosha!
Amazing!
Soka tunalipenda lakini halitupendiHahaha! Basi na sisi tufanye bao au karata mchezo wa taifa.
Soka tuwaachie wenyewe Spain