Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,519
- 652
Asante mkuu kwa kunitoa tongotongo kuhusu mambo makubwa ya huko PakistanPamoja sana wadau
........
Asante mkuu kwa kunitoa tongotongo kuhusu mambo makubwa ya huko PakistanPamoja sana wadau
........
Usijali shemelakweli mama nilijua wewe tu wanisamehe
Huko ni majanga, nafikiri huko ndiko lilikodhariwa
Hatari sana! Uzi unakimbia balaa..., naona wanataka kutuzidi umaarufu!Nenda kwenye uzi hapo pembeni ukachukue LIKE
Zitakusaidia uwe maarufu kumzidi Ngedere Ungabure
![]()
![]()
![]()
.....
Wanafanya kazi masaa 14
Thanks bitozEnd![]()
.....
amenMIKA 7
18 Ee MUNGU ni nani aliye kama wewe? Wewe wasamehe dhambi za watu wako waliobaki wala huyaangalii makosa yao Hasira yako haidumu milele ila wapendelea zaidi. kutuonesha fadhili zako
19. Utatuhurumia tena utafutilia mbali dhambi zetu utazitupa zote katika vilindi vya bahari
20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abraham na Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani
WAPENDWA MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO HAPA NA TUNASOMA UJUMBE HUU TUMRUDIE YEYE SIKU ZOTE TUJUTE NA TUTUBU DHAMBI ZETU ANASAMEHE NI AHADI YAKE KWETU WATOTO WAKE MUWE NA MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
UbarikiweShukrani mama yetu Barikiwa![]()
![]()
![]()

Wonderful!
Asante sana kwa je wajua? Inaongeza maarifa barikiwaEnd![]()
.....

Zitakua expensive pia wao ni rahisi maana wanaviwanda Mungu atusaidie tuweze kukua kiteknologia
Umaarufu wa mtu au uzi unarokana na kilichoandikwa na siyo wingi wa like alizonazo mtuHatari sana! Uzi unakimbia balaa..., naona wanataka kutuzidi umaarufu!
Na kazi walizofanya zinaonekana na ni rahisi kupima sisi sijui utapimaje

Safi sana wenzetu wanajitambua cleaning is part of living
Hahaha..... Pole sanaMimi huyo, hiyo suruali ni wakati sijapunguzwa kazi BoT nikahamia TrA ambako nako nilisitaafishwa kwa fagio la chuma. Sasa hivi nauza bidhaa za Forever Living. Kuna mteja? Si mnaona nilivyopungua
Kwema sana Archduke...habarini humu ndani