Makapuku Forum

Makapuku Forum

23e5956f49883d696e7db6f98977d1e2.jpg
 
MIKA 7

18 Ee MUNGU ni nani aliye kama wewe? Wewe wasamehe dhambi za watu wako waliobaki wala huyaangalii makosa yao Hasira yako haidumu milele ila wapendelea zaidi. kutuonesha fadhili zako

19. Utatuhurumia tena utafutilia mbali dhambi zetu utazitupa zote katika vilindi vya bahari

20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abraham na Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani


WAPENDWA MUNGU ANATUPENDA SANA NDIO MAANA TUPO HAPA NA TUNASOMA UJUMBE HUU TUMRUDIE YEYE SIKU ZOTE TUJUTE NA TUTUBU DHAMBI ZETU ANASAMEHE NI AHADI YAKE KWETU WATOTO WAKE MUWE NA MCHANA MWEMA MBARIKIWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom