Makapuku Forum

Mpaka leo wanadai mambo hayajabadilika sana hasa kiuchumi. Mweusi bado anateseka japo nchi ni tajiri kweli kweli!
 
Nimekupata mkuu,somo zuri
 
Naipenda sana.

Hali ya weusi ni ngumu,na hata mahusiano,neighbourhood ni ngumu,yaani ikitokea mtu mweusi kabahatika kupata uwezo wabkuishi maeneo weupe wanaishi anapata shida sana...hawaamini na hawako tayari mweusi afanikiwe,afanane nao....maombi ni muhimu hiyo ni roho kamili..ina madhabahu inapaswa ivunjwe...
 
Ni kanchi fulani kutoka Asia kasikojulikana lakini kenye maamuzi ya akili
Afya kwanza kodi baadaye....yaani unachukua kodi za sigara halafu baadaye tena unahangaika kutibu walgonjwa wa kansa
......
Maamuzi ya faid, ambayo huku kwetu hayawezi kufanyika. Sana sana wanategemea kodi za Sigara ili kuendeshea serikali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…