Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
AmenMungu Amguse rafiki yako na mkono wake wa uponyaji kulingana na mapenzi yake. Bila shaka atapona!
[emoji1] hiyo team imetimia tiariPedeshee Muzee ya Peremende kabwagiwa watoto [emoji23][emoji23][emoji23] Sijui D hapa ndiyo yupi [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️![]()
[emoji4] anko magu mungu anakuona ujuee
NakuonaaaaNipo, husna muba
Na wenyewe aliowachokozaaNa nani sasa kwa mfano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani watu wana dhambi nyiee ss hayo mambo ya pattern huyo atayajulia wp?!
Vitoto vya siku hizi huwezi jua aisee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani watu wana dhambi nyiee ss hayo mambo ya pattern huyo atayajulia wp?!
[emoji106]Gaidi wako anaweza kuwa shujaa na mpigania demokrasia na uhuru wa mwenzako (and vice versa)....![]()
AAA wapi kwa hilo hapana aiseeVitoto vya siku hizi huwezi jua aisee....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo lijanajike hamnazo [emoji15]Fatakiiiii !!!![]()
Kama una pesa siku hizi hata kama unao watu hawajali tena. Pengine ni hivi vidonge vya kupunguza makali. Utakuta pedeshee la mtaa linasemwa kuwa linao lakini kwa vile lina pesa basi mabinti wanajikanyagisha tu bila woga. Pesa ni mfalme aisee...Hilo lijanajike hamnazo [emoji15]
upo vizuri mkuu, hivi na wewe upo kwenye fani hiyo ya muziki?
Hilo lijanajike hamnazo [emoji15]
Afya yangu kwanza pesa baadaeKama una pesa siku hizi hata kama unao watu hawajali tena. Pengine ni hivi vidonge vya kupunguza makali. Utakuta pedeshee la mtaa linasemwa kuwa linao lakini kwa vile lina pesa basi mabinti wanajikanyagisha tu bila woga. Pesa ni mfalme aisee...