BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
HBD Ice Cube1969 - Ice Cube anazaliwa.
Ni muigizaji wa Movie toka nchini Marekani.
HBD Ice Cube1969 - Ice Cube anazaliwa.
Ni muigizaji wa Movie toka nchini Marekani.
Pole yao na RIP Marehemu wote![]()
Pia iliharibu/bomoa takribani nyumba 9000![]()
......

HBD Xi Jinping1953 - Xi Jinping anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Watu wa China.
Safi1994 - Israel na Vatican City zaanzisha mahusiano ya kidiplomasia.
Ujio wake ulileta neema kibao nafikiri hata Tazara flyover ilianzia hapoWanasema aliondoka na vifungo vyetu
Happy Anniversary to them1978 - Mfalme Hussein wa Jordan anamuoa Mmarekani Lisa Halaby ambaye baadae anabadili jina na kujulikana kama Malkia Noor.

A wall can doTumpe nafasi Mussolin atuletee historia, baadaye kidogo. Ngoja niwamalizie MB
![]()

HahahaBinamu baadaee
..acha hizo Husna bhana, mbona unataka kucomplikate na kukomfyuzi mambo

Safi sana1934 - Hifadhi ya Taifa ya Greaty Smoky Mountains National Park yaanzishwa huko Marekani.
Hongera zao1919 - John Alcock na Arthur Brown wanakamilisha safari yao ya kwanza ya kuruka na ndege bila kutua kusimama katika bahari ya Atlantic na kutua Ireland.
Yakwako yanamtosha dearUngempa na UA ingekuwa poa sana
HahahaAunt yangu Shunie uongo dhambi ananipenda sema tu wewe ndo unanichonganisha naye, na bora anasikiaga tu habari za Cheusi, siku wahamiaji haramu wakimletea habari zako za yule teller wa pale kotaz si atanisingizia mimi?
![]()
Sawa sawa ngoja tupumzike kwa kupata salamu za wadhamini wetu ACASIACIA
![]()
