shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Band gani hii
Band gani hii
1934 - Hifadhi ya Taifa ya Greaty Smoky Mountains National Park yaanzishwa huko Marekani.
Hivi ambulance..aah, kwani alikukasirikia? Mimi nilikutetea aliposema ulitembeaga na yule teller wa vicoba bank. Nilikutetea sana
Japo najua mlitembeaga, au unabisha?
ipo humu kweli?..usisikilize maneno ya mjomba angu, lolote analosema juu yangu sio kweli. Niamini
![]()

Huyu mzee kwa vituko tu hajambo
..acha hizo Husna bhana, mbona unataka kucomplikate na kukomfyuzi mambo

Aisee haaaaahaaaa
Yaani ni kweli kabisa, kwetu mtu akikuita KAPUKU amekudharau sana na mnaweza kupigana. Bibi yangu zamani za miaka ya 80 ukifanya jambo ambalo halina ufahamu ndani yake (yaani ukikosea) atakuita jina hilo la KAPUKU. Na mimi nashauri kama Group hili ni la manufaa mazuri na ni la watu makini LITAFUTIENI JINA LINGINE LITAKALOENDANA NA UMUHIMU WAKE KWA WAHUSIKA.Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Hbd jinping1953 - Xi Jinping anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Watu wa China.
Hbd ice cube1969 - Ice Cube anazaliwa.
Ni muigizaji wa Movie toka nchini Marekani.
Asante mkuu musoLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Pamoja sana mkuu musoliniShukrani mkuu
Pamoja sana shemeji

Haaaaahaaaa, aisee ngoja ajeAunt yangu Shunie uongo dhambi ananipenda sema tu wewe ndo unanichonganisha naye, na bora anasikiaga tu habari za Cheusi, siku wahamiaji haramu wakimletea habari zako za yule teller wa pale kotaz si atanisingizia mimi?
![]()
Niliiona jana discoveryLeo Katika Historia:
1896 - Tsunami kubwa yaikumba Japan na kuua watu takribani 22,000.
..usisikilize maneno ya mjomba angu, lolote analosema juu yangu sio kweli. Niamini
![]()

1978 - Mfalme Hussein wa Jordan anamuoa Mmarekani Lisa Halaby ambaye baadae anabadili jina na kujulikana kama Malkia Noor.
HBD Xi Jinping1953 - Xi Jinping anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Watu wa China.
Alifedheheshwa sana na kitumbo wa Brazil world cup 20021969 - Oliver Kahn anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.