shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
1994 - Israel na Vatican City zaanzisha mahusiano ya kidiplomasia.
1953 - Xi Jinping anazaliwa.
Ni Rais wa sasa wa Jamhuri ya Watu wa China.
Wanasema aliondoka na vifungo vyetu
Alikuja Bongo 2014![]()
.....
1969 - Ice Cube anazaliwa.
Ni muigizaji wa Movie toka nchini Marekani.
1969 - Oliver Kahn anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
1992 - Mohamed Salah anazaliwa.
Winga wa As Roma na timu ya taifa ya Masri.
Pamoja mkuuAsante kwa leo katika historia mkuu musolini
Asante shemeji
Mukongo mamboGoodmorning family.....nimewamis!!!.....nipo gado.....love mingi kwako my mummy Lolo-BH
![]()
![]()
![]()
Pia alikuwepo langoni wakati Man Utd ikifanya come back ya kihistoria jioni ile ya Jumatano katika dimba la Nou Camp, katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 1999.
Mmoja kati ya makipa bora kuwahi kutokea![]()
Walimuita mikono saba lakini akafungwa goli mbili laini na Rinaldo de Lima mechi ya Fainali WC 2002...Brazil akabeba ndoo
Alikuwa na skendo kibao za kutembea/kubaka vigori
.....
Goodmorning family.....nimewamis!!!.....nipo gado.....love mingi kwako my mummy Lolo-BH
![]()
![]()
![]()

Amen mummy same to you ubarikiwe
Asante kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
HBD Mohamed Salah1992 - Mohamed Salah anazaliwa.
Winga wa As Roma na timu ya taifa ya Masri.
HBD Oliver Kahn1969 - Oliver Kahn anazaliwa.
Golikipa wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.