Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Shukrani mkuuView attachment 524195Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa KF na speed ya 5G niwatakie siku njema
Shukrani mkuuView attachment 524195Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa KF na speed ya 5G niwatakie siku njema
Cheusi maangalaa badili mwendo huo mangala wee mangalaaaNakuaminia kweli na mm jana ile bili yako nimeilipa lakini tuwe tunaambizana sitaki wakuchafue jina lako
Cheus wako nimemalizana nae kiroho safiiii najua amekwambia
Ungempa na UA ingekuwa poa sanaMe mzima Obe hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu, nakuombea amani, furaha na mafanikio ubarikiwe Obe, Jorowe, Mtaasisi... Siku njemaaa
Hiyo ameni imekaa kishabiki tuAmeeeeeeiiiiiiniiiii
Nzuri mkuuHabari habari
Cheusi maangalaa badili mwendo huo mangala wee mangalaaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Walaaaa hujakoseaaa niko hapaaa papaaa lee mutu ya peremende
HapanaHiyo ameni imekaa kishabiki tu
Ungempa na UA ingekuwa poa sana
Asante kwa kunikumbusha my[emoji524] ZABURI 23...INABARIKI SANA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatri lakini salamaYeah, kanitumia meseji! Umefanya vizuri hebu fikiria wale wahamiaji haramu wangekuona umeleta nyama kwa mamaaa si wangeweka matangazo hadi kwenye gazeti la Annur