Watajulia wapi binamu make hizi tikitaka zinavyopigwa wee nomaaaa ila nahsi mm na wewe hatuaminianii ...cheusi ulimwambia nn kwanza
Kutembea tulitembea make aliniomba nimsindikizee ila wewe kuna maneno umeongezeaa..aah, kwani alikukasirikia? Mimi nilikutetea aliposema ulitembeaga na yule teller wa vicoba bank. Nilikutetea sana
Japo najua mlitembeaga, au unabisha?
Ndo kazi yaoHawachoki hawa
Kupumzika muhimuNdo kazi yao
....
Kutembea tulitembea make aliniomba nimsindikizee ila wewe kuna maneno umeongezeaa
ndio mimi mkuu hakuna mwingineHuyo ndio wewe au? Hahahah
Shikamoo Hitler
Kupumzika muhimu
Mtu mbayaaaShikamoo Hitler
Pamoja kiongoziTuwe na siku njema wanafamilia
Sawa sawa ngoja tupumzike kwa kupata salamu za wadhamini wetu ACASIACIA
![]()

Kama ni hivo ujue na mm kwa kile kifaa chako kipya pale kona ntayakoroga make juz kanisimamisha ananiuliziaa muuza chapatiii nkasema ni uteja tu...sikuongeza hakyanani kabisa, nimefunga mimi tena na funguo za mlango nimeziacha kwa mangi
Sawa sawa ngoja tupumzike kwa kupata salamu za wadhamini wetu ACASIACIA
![]()

huyo Hitler akili zake zilimtosha mwenyeweShikamoo Hitler