Aunt yangu Shunie uongo dhambi ananipenda sema tu wewe ndo unanichonganisha naye, na bora anasikiaga tu habari za Cheusi, siku wahamiaji haramu wakimletea habari zako za yule teller wa pale kotaz si atanisingizia mimi?
Nakuaminia kweli na mm jana ile bili yako nimeilipa lakini tuwe tunaambizana sitaki wakuchafue jina lako
Cheus wako nimemalizana nae kiroho safiiii najua amekwambia
Me mzima Obe hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu, nakuombea amani, furaha na mafanikio ubarikiwe Obe, Jorowe, Mtaasisi... Siku njemaaa
1919 - John Alcock na Arthur Brown wanakamilisha safari yao ya kwanza ya kuruka na ndege bila kutua kusimama katika bahari ya Atlantic na kutua Ireland.
Aunt yangu Shunie uongo dhambi ananipenda sema tu wewe ndo unanichonganisha naye, na bora anasikiaga tu habari za Cheusi, siku wahamiaji haramu wakimletea habari zako za yule teller wa pale kotaz si atanisingizia mimi?
Yeah, kanitumia meseji! Umefanya vizuri hebu fikiria wale wahamiaji haramu wangekuona umeleta nyama kwa mamaaa si wangeweka matangazo hadi kwenye gazeti la Annur