Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Nawe pia mkuu pedeshee mutu ya totoz oooh no!, mutu ya peremendeeTuwe na siku njema wanafamilia

Nawe pia mkuu pedeshee mutu ya totoz oooh no!, mutu ya peremendeeTuwe na siku njema wanafamilia

AmeeeeeeiiiiiiniiiiiMe mzima Obe hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu, nakuombea amani, furaha na mafanikio ubarikiwe Obe, Jorowe, Mtaasisi... Siku njemaaa
Walaaaa hujakoseaaa niko hapaaa papaaa lee mutu ya peremendeNawe pia mkuu pedeshee mutu ya totoz oooh no!, mutu ya peremendee![]()
Kwema kiongoziiiHabari habari
Njema Bailly5,za uzima? UbarikiweHabari habari
Karibu Husna MubaAmen asante kwa neno
mzee wa mjini alichokifanya kwa seya ni uchawi tu! uwezi kuaribu future ya familia nzima kwasababu ya mchuchu! lakin haya bwaanah!Daaaa masikini babu seya sizonje angemtoa tu km ni kuteseka kashateseka imetosha sasa
Safi Tu BlessedHope. Mimi mzima sijui wewe? Ubarikiwe piaNjema Bailly5,za uzima? Ubarikiwe
Kwema Lee,Kwema kiongoziii
ubarikiwe BlessedHopeZABURI 27
1.BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?
MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA MKIMTANGULIZA YEYE SIKU NJEMA![]()
![]()
Vizuri kama unautukumbukaKwema Lee,
Bwana ndiye mchungaji Wangu sitapungukiwa na kitu kando ya maji ya utulivu huniongoza.......
Mama BH nimekumbuka huo msitari hapo juu ila cjui unatoka kitabu gn tuliwai kusomaga sunday school enzi niko mtoi
ZABURI 23...INABARIKI SANANakuaminia kweli na mm jana ile bili yako nimeilipa lakini tuwe tunaambizana sitaki wakuchafue jina lako
Cheus wako nimemalizana nae kiroho safiiii najua amekwambia
Niambie nduguVizuri kama unautukumbuka
Salama salama mkuu!Habari habari
Bwana ndiye mchungaji Wangu sitapungukiwa na kitu kando ya maji ya utulivu huniongoza.......
Mama BH nimekumbuka huo msitari hapo juu ila cjui unatoka kitabu gn tuliwai kusomaga sunday school enzi niko mtoi
Ingekuwa hatarii lakini uzuri wanajua wewe ndo uwa unanituma nipeleke ...na wote hawajang'amua pale kwa cheus nani Acacia nani Barricks ...Yeah, kanitumia meseji! Umefanya vizuri hebu fikiria wale wahamiaji haramu wangekuona umeleta nyama kwa mamaaa si wangeweka matangazo hadi kwenye gazeti la Annur
Huyo ndio wewe au? HahahahSalama salama mkuu!