Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Asante kwa uchambuzi muruaMorning mkuu ...
Hope unataka maoni kuhusu lukaku ??
Maoni yangu tanaweza kujikita kwenye ushabiki na uhalisia ila yote ikaletea maana ...kwanza kabisa Lukaku ni moja wa wamaliziaji wazuri hasa mipira ya mwisho na apa ndo utamtofautisha yeye na Costa hasa uzuri wake unanoga kwa kuwa na uwezo wa kukokota mpira na guu lake la dhahabu na nguvu zake alizonazo ...huwezi kumzungumzia Lukaku bila kumzungumzia Jose M huyu baba wanayemuita master mind japo mm yupo kwenye list ya makocha bora kwangu popote alipo
...alichokianza Conte ndicho anachokimaliza Lukaku make Costa mbali na kuwa na msimu mzuri lakini lazima aangalie upande mwingine japo na darajan bado panamfaa ...
Anachojaribu kukifanya Conte ni kuwa na mshambuliaji tegemezi na wa kutegemewa kila mara hii costa amekikosa japo mchango wake ni mkubwa
Bwaaaaanaaaaaah pembeni akae William uku hazard katikati mzee wa pasiii lukaku utampenda ...anatulizaa anafinya kambaniiiiiiii
Moja ya kitu kinachoweza kumsaidia lukaku ni kutaka kumuonesha yule bilionea A kuwa yeye darajan ndo panamfaa japo yule mzee aliona hapamfaii ......
Karibu lukaku panakufaa sana ...
Lakini vipi costa najua utaniulizaaa ...
Twende sawa kiongoziii Jose Mourinho alifanikiwa kutimiza ndoto za Adebayor na Essien kwenda Madrid....
Mourinho akafanikiwa kumrudisha Matic Chelsea...... Jose huyo huyo akafanikiwa sana alipokuwa na muitaliano mweusi Mario Ballotel pale Inter Milan....... Mourinho huyo huyo aliweza kuwagawa waspain ndani ya Real Madrid....... Jose huyo huyo akafanikiwa katika kuuangusha ufalme wa Icar Cassilas pale Bernabeu..... Na sasa kafanikiwa tena kuuangusha ufalme wa Zlatan Ibrahimovic pale Manchester united.
Kama alifanikiwa kwa Emanuel Adebayor na Michael Essien pale Madrid...... Unaweza kushangaa kufanikiwa kwa Diego Costa kuvaa jezi ya United Msimu kesho...? Mourinho ni mwanadamu anayejielewa yeye mwenyewe na baadhi kama mimi na wewe ndio tunaweza kumuelewa....japo ni muhumin sana wa kile anachokiamini na hapa ndo lukaku anajaribu kumuonesha mzee falsafa zake mda mwingine zinafell
Meseji ile ya Conte kwa Costa hope ilikuwa faraja kwa Lukaku ns Jose Mourinho wake ila tkumbuke mda nao una majibu sahih
Nilifurahi tuVP muzeiya?! Mbona kelele?!
Waleeeeteeeeeeee
HatariiiiChuma hicho
Asante mkuuAsante UF na dondoo za BBC, pia nawe siku njema
Afu shemeji sio poa banaaSiku Shedede atakaporudi (na panga) kuna watu wataomba kutupwa selo aisee...![]()
Bhinamu kwema ??
Umekuwa sister ??Afu shemeji sio poa banaa
ASA unamtisha nani Shem kwanza huyo mchawi mi wa nn?!
Obe is just my friend nothing hapened so worry out
Asante sana kwa magazeti Mkuu ShululuView attachment 524195Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa KF na speed ya 5G niwatakie siku njema

MUNGU yu mwema mbarikiwe waislamu wote kuitekeleza ibada hii muhimu Ramadhan KareemMfungo 20 leo, Ramadhan Kareem
Afu shemeji sio poa banaa
ASA unamtisha nani Shem kwanza huyo mchawi mi wa nn?!
Obe is just my friend nothing hapened so worry out
Nakuaminia kweli na mm jana ile bili yako nimeilipa lakini tuwe tunaambizana sitaki wakuchafue jina lakoKwema anko, kumekucha salama na kama kawaida ule msala wa yule kanikia wako nimeusolve kibabe
mkuu asante kwa magazeti, ubarikiwe..View attachment 524195Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa KF na speed ya 5G niwatakie siku njema
MUNGU yu mwema mbarikiwe waislamu wote kuitekeleza ibada hii muhimu Ramadhan Kareem
Bwana ndiye mchungaji Wangu sitapungukiwa na kitu kando ya maji ya utulivu huniongoza.......ZABURI 27
1.BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?
MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA MKIMTANGULIZA YEYE SIKU NJEMA![]()
![]()
Amen asante kwa nenoZABURI 27
1.BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?
MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA MKIMTANGULIZA YEYE SIKU NJEMA![]()
![]()
Me mzima Obe hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu, nakuombea amani, furaha na mafanikio ubarikiwe Obe, Jorowe, Mtaasisi... Siku njemaaaAmen, uwe na wakati mzuri BH. Hujambo lakini?
HahahaMwambie atulize roho, yaani mimi ni kama unanipa makanikia aka maua, dhahabu unampa mwenye smelter😀😀😀