Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Jukwaa linasongeshwa haswa kuelimishana , utani na mambo kedekede japo uwe unakuja mara kwa maraNiambie ndugu
Jukwaa linasongeshwa haswa kuelimishana , utani na mambo kedekede japo uwe unakuja mara kwa maraNiambie ndugu
Asante mkuuView attachment 524195Sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa KF na speed ya 5G niwatakie siku njema
Naona jukwaa linaenda. Maisha Haya ila nitajitahidi kuja mara moja mojaJukwaa linasongeshwa haswa kuelimishana , utani na mambo kedekede japo uwe unakuja mara kwa mara
Me mzima Obe hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu, nakuombea amani, furaha na mafanikio ubarikiwe Obe, Jorowe, Mtaasisi... Siku njemaaa
hahahahah..Ha hahahhahahahah
Utakumbuka wapi wakati SS ulikuwaga unafata biskuti na bazoka tuuuu
Asante kufuraiNilifurahi tu
Itakuwa poaaNaona jukwaa linaenda. Maisha Haya ila nitajitahidi kuja mara moja moja
Ingekuwa hatarii lakini uzuri wanajua wewe ndo uwa unanituma nipeleke ...na wote hawajang'amua pale kwa cheus nani Acacia nani Barricks ...
Ehh! Obe tu linatosha hayo mengine wananiitaga watu wa mataifa, ila wewe hilo moja tu linatosha wasikutie najisi

Sister Wa aina gn?!Umekuwa sister ??
Watajulia wapi binamu make hizi tikitaka zinavyopigwa wee nomaaaa ila nahsi mm na wewe hatuaminianii ...cheusi ulimwambia nn kwanzaHawajajua kabisa hilo shukuru, yaani mimi ndo naonekana zaidi kwa kuwa nimeshika mapembe , kumbe wewe umetulia unakamua tu tena kiulaini kabisa. Hii dunia haiko sawa kabisa wallah
jukwaa aliwezi ku stop, watu wanalikimbiza kwa speed ya light..Naona jukwaa linaenda. Maisha Haya ila nitajitahidi kuja mara moja moja
Sasa mchanga wa madini tuItakuwa poaa
Kasi ya uncle Magu au?jukwaa aliwezi ku stop, watu wanalikimbiza kwa speed ya light..
😀
MtawaSister Wa aina gn?!
Mwambie atulize roho, yaani mimi ni kama unanipa makanikia aka maua, dhahabu unampa mwenye smelter😀😀😀
afu wewee muone KwanzaaHawachoki hawa
asitumie jina jingine Obe ndo lina heshima na CV zote..!!!Ehh! Obe tu linatosha hayo mengine wananiitaga watu wa mataifa, ila wewe hilo moja tu linatosha wasikutie najisi
