BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawe pia Lee wa Shunie ubarikiweTuwe na siku njema wanafamilia
Nawe pia Lee wa Shunie ubarikiweTuwe na siku njema wanafamilia
KaribuAisee sijuhi niseme nn Makapuku wenzangu kwa kupotea siku kadhaa.!!
HahahahaSiku Shedede atakaporudi (na panga) kuna watu wataomba kutupwa selo aisee...![]()
Mpira huleta Amani
Yupo mmoja tu au wengi?
MUNGU yu mwemaWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..soon UF
Kumekucha salama, vip pande hizoWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..soon UF
Aisee dahUkiweza mruhusu wifey nipige naye practical - show moja tu ya kibabe na roho yangu itapoa. Mengine haya siyajui...
Obe kanizunguka...Naona na ushemeji utakuwa kwishnei sasa. Ngoja tuone itakavyokuwa. Pengine itanibidi nimchochee Shedede huko aliko achochee matunguli ya Kikinga ili haya mapinduzi yadorore!
Chuma hicho
Salama mkuu kwema hukoKumekucha salama, vip pande hizo
Asante kwa neno mama mchungajiZABURI 27
1.BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?
MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ZA MAISHA MKIMTANGULIZA YEYE SIKU NJEMA![]()
![]()
Asante UF na dondoo za BBC, pia nawe siku njemaTuwe na siku njema wanafamilia
Kwema kabisa mkuuSalama mkuu kwema huko