Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wengi huwa tunafanya hivyo. Hasa kama post ina mawenge na/au haikuhusu.Siwezi tena mie, nitakuwa napotezea tuu
OooooSawa na ya mbuzi
![]()
![]()
![]()
......
Madaraka ya kulevya.
Madaraka ya kulevya.
Madaraka ya kulevya.
Jibu nimekupa linatosha bhanaOoooo
Kwahiyo hauna dini?!
Sikulijua hiloHao ni Matoz malimbukeni
Kuna aina kibao za matoz wapo pia matoz mashoga,viwembe n.k
Hawafanani
..........
SawaWengi huwa tunafanya hivyo. Hasa kama post ina mawenge na/au haikuhusu.
Naikumbuka mpendwa
![]()
![]()
![]()
![]()
Mfano wa kariakoo..Kweli kabisa na Zanzibar kwa ujumla mashariki yote na ukanda wa bahari from South Africa to Somalia
May the living God bring back our happyness..Okay my lil sister
Just love you more
Ila matozi huwa wanavaa kihuni mnoo, na zile style za nywele mie siwaangaliagi mara mbili

AmenMay the living God bring back our happyness..
Ikawaje ukajiita Bitoz mkuu?Hao ni Matoz malimbukeni
Kuna aina kibao za matoz wapo pia matoz mashoga,viwembe n.k
Hawafanani
..........
Unajua. Haya mambo ukiyawaza sana unaweza ukafika mahali ukakufuru na hata kukubaliana na maracist wa Ulaya wanaodai kwamba pengine sisi weusi tuliwahishwa wakati wa evolution na hatukumalizia ngwe yetu sawasawa; au pengine tumelaaniwa kama baadhi ya maandiko matakatifu yanavyodaiwa kusema. Haiwezekani popote pale tulipo hapa duniani (Afrika, Caribbean, Papua New Guinea, Australia, Haiti na hata Marekani kwenyewe) matatizo yetu ni yale yale - UMASIKINI, ubinafsi uliopindukia kimo, uvivu, umbea, ushirikina, kulalamika, kutojali ...). Why? Huwa natafuta sana kisababishi cha jumla lakini huwa sikipati. Tumelaaniwa? Hatuna akili sawasawa? Tatizo hasa ni nini? Kwa nini mtu anasaini mkataba ambao kimsingi ni kuuza kabisa madini yetu kisa tu yeye na familia yake wametajirika? Hawa wengine je?Kuna kitabu kimoja cha prof mkenya jina limenitoka, nitaandika tena nikikumbuka. Kaongea sana haya mambo kama ulivyoyaeleza, inakera sana.
Tukirudi sisi kwa sisi ndo tatizo kubwa zaidi na wala hatuhitaji kuwasingizia wazungu, ni mindset zetu tu. Haiwezekani hadi leo bado tuendelee kusema matatizo yetu yanaletwa na wazungu. Hivi ni kweli tunapokuwa na tatizo la kukosa umeme tuseme ni wazungu? Hawa si wanauza majenereta? Tunatoa kodi ilhali tunakosa shule zeney kujitosheleza, barabara mbovu, maji shida, na hii kweli tuwasingizie wazungu? Nipe mapumziko tafadhari.
Yaani viongozi kula rushwa na kwenda kuficha mali wanaoztuoibia huko Yuropa na Marikani, tuwasingizie wazungu? No way, tusiangushe lawama zetu kwa mwingine, hii si njia nzuri ya kupambana na stress zetu.
tuseme kweli, sheria za migoodi zisizotunufaisha tuwasingizie wazungu? tembo wetu kuuliwa tusingizie wachina? halafu ukiwmi tunasingizia sokwe😱, sokwe mtu labda.
Shimba na Makapuku asante kwa kuchokoza hii kipenegele kwa leo
love you more than that big sisOkay my lil sister
Just love you more

Kweli shem we acha tuJamaan![]()
![]()
![]()
Muziki na Kutokelezea
Piga pamba unavyoweza, tokelezea unavyoweza, jipambe upambike na usishau kutumia muda wako kwenye kioo ili kutambua kuwa kila mmoja wetu ni kichaa kwa aina yake.
Sijui kama ninarudia hiki ninachoandika, lakini hata kama ninarudia hakuna ubaya maana maana inaweza kubadilika kutokana na sababu kadha wa kadha ikiwemo siku. Ukiwa katika siku zako basi unaweza kuona rangi zote na kama hauko kwenye siku zako basi usishangae ukijikwaa na kulaumu ulipoangukia.
Salama lakini humu ndani? Nilitingwa kidogo, si unajua tena mambo ya kuitafuta siku uimalize mapema, sasa leo nilikuwa kwenye siku yangu, niliiona yaani tight ile mbaya lakini nimeimaliza na sasa nausubiri mwezi, nipokee mshahara. Kadri unavyoimaliza siku yako ndivyo mshahara unakaribia, haijalishi unalipa au unalipwa.
Turudi kwenye muziki, jana nilikwambia kuwa wanamuziki waanzilishi wa Les Wanyika kina Ngereza na Kinyonga walikimbilia Kenya kutokana na ugumu wa uchumi katika tasnia ya muziki, well, hizi mambo ukiona kwako kugumu mwingine anatamani aje. Wakongo kibao walimiminika Bongo miaka ya 70, 80 na 90 na kuendelea hadi kesho.
Mmoja wao alikuwa ni mpiga gitaa mzuri tu ambaye ukisikiza anavyopiga gitaa na kuimba utampenda sana, sauti na gitaa lake, solo hilo. Anaitwa Nguza Viking.
Unajua yanayoendelea kwake na watoto wake, na hii si mada ya leo. Leo tunawmangalia tu katika muziki na gitaa. Aliwahi kupiga gitaa na nguli wetu wa bongo komandoo Hamza Kalala.
Nguza mbali ya kupiga muziki alikuwa ni mtunzi mzuri na moja ya kibao kilichompatia umaarufu ni Seya na hasa pale alipokiboresha na mwanae Papi kocha
tizama hii clip ya YouTube ufurahie, hadi wakti mwingine tena