shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Yeye mwenyewe ananijua tukitulia na wineshemela vipii naongea uongo
yetuYeye mwenyewe ananijua tukitulia na wineshemela vipii naongea uongo
yetuKwa hiyo anafanya biashara, ashindwe kabisabila promo huwezi fanya biashara shemela
Connection siyo kwamba ni nguvu ya uvutano tu huyu mkubwa anamvuta huyu, huyu naye anamvuta huyu?Ni shida, ila cha ajabu ni kwamba kila kipindi cha jua na mwezi yanapokuwa upande furani huwa kuna shida sana baharini, na hata wanasayansi wanatafuta connection ya mwezi na bahari na jua na bahari
Ngoja ligi ianzeyaan siipatii picha shemela mnyamaa tutawakimbiza sana
Nakupendaa jamann mama pedesheeme zaidi Baba D jaman mpaka nakufwa
Kweli kabisa ubora wa mume/mke ni zaidi ya muonekano wakeChogo mama. Mambo ya sijui maendeleo tutapambana huko mbele ya safari...On a serious note - nadhani kuna mambo mengine ya muhimu zaidi kwa mwanamke wifey material zaidi ya uflat na uchogo...![]()
Halafu akianza mambo ya akina Cheusi Mangala mke anakuja juu. Mume anaitwa Pedeshee mutu ya maperemende aka totoz unategemea nini?Pedeshee Lee mutu ya maperemende
Mimics na Tumosa wangu tu![]()
shemela ujue me naongea ukweli kimoyomoyo usikute unanishkuru sana ninavyoongea
Wa nani vile?Mambo vipi mrembo wa nanilii
Haaaaahaaaahahaha Baba D kasema niiache ujue alikua haitaki nilikuwa naiweka kiubishi nilikua natumiwa avatar za kuweka Baba D jamaankisa haitaki hii au niirudishe ya mwanzo
Siyo Nyani kweli? Au nimechanganya madesa?Wa nani vile?
Hapo sasa hata mimi nilitaka kushanggaame shemela bonge naanzaje kuwa flatscreen
Marahaba mtoto wa my Dabyshikamoo muke ya bamdogo angu halaf jana aliniambia nikulinde sikuelewi ujue
Nimeona imebidi nicheke tu![]()
![]()
![]()
shemela ushajibiwa ndio ulichokuwa unakitaka

Lakini wewehahaha Baba D kasema niiache ujue alikua haitaki nilikuwa naiweka kiubishi nilikua natumiwa avatar za kuweka Baba D jamaankisa haitaki hii au niirudishe ya mwanzo
Nimeona aiseekashajibiwa na fakalava shemela