Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hapana aisee si kwa wingi huo binamu zikizidi ni uchafu jamaanUchafu tena😱, nyingi zinaonesha ufundi uliotukuka na kutukuzwa
hapana aisee si kwa wingi huo binamu zikizidi ni uchafu jamaanUchafu tena😱, nyingi zinaonesha ufundi uliotukuka na kutukuzwa
OkHadithi tu. Kolomije na Gamboshi zote nimekaa sana na sijawahi kuona nyoka wa mauza uza. Ni wale wa kawaida mnagongana akiwa kwenye mishe zake unamuua basi mambo yanaisha. Matukio mengi ya uchawi mara nyingi ni hadithi zinazoenezwa na watu kwa kusudi maalum...
sleep wellUsiku mwema watu wa Mungu View attachment 523012
I am not serious about that.... I don't believe in such thingsHadithi tu. Kolomije na Gamboshi zote nimekaa sana na sijawahi kuona nyoka wa mauza uza. Ni wale wa kawaida mnagongana akiwa kwenye mishe zake unamuua basi mambo yanaisha. Matukio mengi ya uchawi mara nyingi ni hadithi zinazoenezwa na watu kwa kusudi maalum...
mzee wa churaaaNme kua mtoro sana narudi nyumban mnipokee ndugu zangu
ha ha ha ha ha ha haHizi siyo shanga Shunie. Nadhani ni mzigo wa hirizi...
naogopa hivyo viumbe msivitaje jamaan usiku huuHadithi tu. Kolomije na Gamboshi zote nimekaa sana na sijawahi kuona nyoka wa mauza uza. Ni wale wa kawaida mnagongana akiwa kwenye mishe zake unamuua basi mambo yanaisha. Matukio mengi ya uchawi mara nyingi ni hadithi zinazoenezwa na watu kwa kusudi maalum...
Nawe pia barikiwaUsiku mwema watu wa Mungu View attachment 523012
Aaa wapi. Uchawi ukishatoa mpaka makafara na kuua watu huwezi kuacha na ukabaki salama. Itakubidi ulipe makafara na damu za watu uliowaua kwanza; na ikibidi utafute mtu wa kurithi mikoba yako. Ni process ndefu kidogo. Pengine bageshi alishatimiza masharti ya kujitoakwan zaman binamu ulikuwa mchawi



aiseee waje kwa Yesu jamaan wanapata faida gani hukoAaa wapi. Uchawi ukishatoa mpaka makafara na kuua watu huwezi kuacha na ukabaki salama. Itakubidi ulipe makafara na damu za watu uliowaua kwanza; na ikibidi utafute mtu wa kurithi mikoba yako. Ni process ndefu kidogo. Pengine bageshi alishatimiza masharti ya kujitoa![]()
kwan zaman binamu ulikuwa mchawi
mama mchuchu Mungu anakuona ujue mama angu kweliiii
aisee bangi ni dawa kumbe haleluyaaHa hahahahah, nilisoma na wachawi shule ya sekondari ila nikagundua kuwa bangi ni dawa ya uchawi. Waliokuwa wanvuta ndo walisema
Asante dadaangusawa kaka uwe na amani
Usijali... Mungu akulinde navyo.naogopa hivyo viumbe msivitaje jamaan usiku huu
Anhaa kumbe cyber crime ipo ila ni mpaka ujaribu kuvunja sheria za nchi sawa.Hakuna uhuru usio na mipaka. Pamoja na uhuru wao kuna mambo huwezi kuyasema. Ukitishia kumuua mtu au useme eti unatengeneza bomu kwenye gheto lako muda hautapita FBI weshakugongea mlango...
Unaweza kutukana viongozi na kusema mambo unayotaka lakini huko mbele ya safari yaweza kukuumiza kwa sababu waajiri wengi na hata admission katika vyuo sasa wanafukunyua sana online profiles za applicants. Juzi juzi hapa Harvard imewatimua wanafunzi kadhaa wa mwaka wa kwanza waliokuwa na group lao wanapost mambo ya kibaguzi.
Amen mamaUSALAMA WA WATU WA MUNGU
ZABURI 125
1.Wanaomtegemea Mwenyezi Mungu wako kama mlima Sayuni ambao hautikisiki Bali wabaki imara daima.
2.Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA USIKU MWEMA, DAMU YA YESU IWAFUNIKE MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Dada......... n'kioiaisee bangi ni dawa kumbe haleluyaa