Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna Uzi hapa jirani wameufufua ni wa 2014 una views 190+ k ...sisi week 2 tu tuna 150+ k na replies za kufa MTU
Wataelewa tofauti ya Nokia ya Tochi na Samsung galaxy note 4
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
Wanataka kushindana hao
 
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukrani kwake sana.

Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Nafsi huru
hassandady
Shemtibuko
sumbai
mabesela
dog 1
aggyjay
Elly_corner
Teacher on duty
willy fredy
PNC 1
jambilo
Powder
Mussolin5
xavia jr
Amenn
Madame S


Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
Hata humu simo duuuuuh ngoja nikaoge bahari beach
 
Back
Top Bottom