Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
safi, muungano day ndio imeishaHeshima yako mkuu.
safi, muungano day ndio imeishaHeshima yako mkuu.
Jimena nakusalimu dadaLazima waelewe tuuu
Hahahaha usiseme hivyo nduguHata humu simo duuuuuh ngoja nikaoge bahari beach
munajidai sana, ngoja nimteke kwanza huyo lizMbona hivyo braza
100nzuri sana tu
Utasubiri miaka buku (1000)munajidai sana, ngoja nimteke kwanza huyo liz
Bahati mbaya nshasema ha ha ha tatizo nyotaHahahaha usiseme hivyo ndugu

Jichanganye kitaeleweka tuHata humu simo duuuuuh ngoja nikaoge bahari beach
Una nyota ya penseli nini hahahaBahati mbaya nshasema ha ha ha tatizo nyota![]()
Ndo nakza ivo mkuu dahJichanganye kitaeleweka tu
Na hisi zaidi yakeUna nyota ya penseli nini hahaha
Wamekulambisha likes kibao kalia kigoda hapa umefika mkuuBahati mbaya nshasema ha ha ha tatizo nyota![]()
huyo liz mwenyewe anakuchora tu, muulize jana alikuwa wapi, teh nacheka kwa dharauUtasubiri miaka buku (1000)
Th name

Braza jipe moyo tuhuyo liz mwenyewe anakuchora tu, muulize jana alikuwa wapi, teh nacheka kwa dharau
baridah mkuu, tupo tunalisongesha mdogo mdogo
Mkuu hiyo hiyo mi likes ilisha kwepo tangu mwanzo ndomana nimeshangaaWamekulambisha likes kibao kalia kigoda hapa umefika mkuu