Ha Haaaa....Huu uzi balaa ukikosekana siku 1 tu umekuacha
Pouwa kabisaaaNatumai tuko poa soooooote
ZimefikaMPE hi Th Name
Lete habari.....mnatunyima Nini pande hizoNi jambo la heri mkuu
Okey...,...brazaSiku ilikuwa poa brother mungu anasaidia
Nzuri karibuhabari makapuku
Pamoja.Okey...,...braza
Pande hizi hamna jipyaaa....vp pande hizoLete habari.....mnatunyima Nini pande hizo
asante mkuuNzuri karibu
Mkuu feni
Hahaha wanatoa ushamba kwao hamna
Okey mkuu. Hamna Haata jipu aliyetumbuliwa leo??? Pande hizoPande hizi hamna jipyaaa....vp pande hizo
Hahaha kumbe mbwembwe zooote ni likes unasaka!Nimekuwa nikitafakari kuhusu Makapuku Forum Na huyu anayejiita mwanzilishi Mkuu Bitoz.
Bandiko hilo la Makapuku Forum limenifanya sasa nijihisi nipo Jamii Forum kutokana Na kupanda ghafla Kwa idadi ya Likes Na Trophy points.
Natanguliza shukurani kwa mwanzilishi lakini ni vema nieleze niliyotafakari.
Katika tafakari nimehisi huweza kuwa Bitoz alikuwa member mkongwe kuliko Faizafoxy humu JF ila akasahau password. Hii ikasababisha ajipatie ID nyingine Hali iliyosababisha kuanza upya kusaka umaarufu (maana JF ili uchukuliwe siriasi zinaangaliwa likes Na Trophy) Kwa kujiita kapuku Na kusaidia Makapuku wengineo ambao wanakuwa mtaji kwake wa kumpatia Trophy Na likes.
Hayo tuu Kwa sasa. Kabla hujapost kujibu hoja au kutoa mchango wako, LIKE kwanza.

Wenyewe wakitoa povu sikuteteiHahaha wanatoa ushamba kwao hamna
Unafaa kwa ulezi naona unapooza jotoYuko poa usijali. ..mlezi nipo
Ubize flani hiviBitoz wapi!